Anakojoa mkojo unaonuka sana katikati ya tendo.

Anakojoa mkojo unaonuka sana katikati ya tendo.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
waungwana,habari zenu.?

mimi nina mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana ila kwa sasa najifikria kumuacha kwasababu ifuatayo:

KATIKATI YA TENDO YEYE HUKOJOA MKOJO UNAONIRUKIA TUMBONI,KIFUANI NA WAKATI MWINGNE HADI MDOMONI(USONI)..

NIMEIVUMILIA HALI HII KWA MDA MREFU LAKINI SASA NASHINDWA KWASABABU MKOJO HUU NI KERO..

KWANI UNANUKA SANA PIA LAZIMA NIANIKE GODORO BAADA YA TENDO,.

NAOMBENI USHAURI WAKUU..
 
kama nimekuelewa mwenzio ana squirt
kitu ambacho sio kila mwanamke anaweza kukipata wakati wa sex..
ulipaswa kufurahia
but kama sio hivyo anzia hospitali kwanza....
 
sasa si akojoe kwanza kabla ya mechi??
ushauri wangu usimpe maji wala soda ama pombe masaa 4 kabla ya mechi
 
teh teh teh mwanzisha uzi unaleta janja ya nyani wewe?
lakini haina shida mm nishakuelewa maana yako na nia yako sababu uzi wako umekaa kimtego mtego sana yaani kwa maelezo yako wajua nini unataka kujibiwa na sio kwamba hujui ulichoandika bali unataka kupima upepo wa wanajamvi
 
kama nimekuelewa mwenzio ana squirt
kitu ambacho sio kila mwanamke anaweza kukipata wakati wa sex..
ulipaswa kufurahia
but kama sio hivyo anzia hospitali kwanza....

dah,cwez kufurahia harufu mbaya kwa hali yoyote ile
 
The Boss keshasema bibie ana squirt,wewe unasema akojoe kwanza kabla ya tendo-unanipa wasiwasi na ueleo wako

wewe unanishangaza zaid kwamba huwez kusoma na kuelewa maana ya maandishi badala yake unanilazimisha niseme ama niongee kama alivyoongea The Boss.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh mwanzisha uzi unaleta janja ya nyani wewe?
lakini haina shida mm nishakuelewa maana yako na nia yako sababu uzi wako umekaa kimtego mtego sana yaani kwa maelezo yako wajua nini unataka kujibiwa na sio kwamba hujui ulichoandika bali unataka kupima upepo wa wanajamvi

siasa znakuchanganya mkuu..
 
dah,!
nikianza kumuelekeza analia tuu..

binafsi nimekujibu utumbo mwanzoni kwasababu nimeshindwa kuelewa kwann unaona hili ni jambo la kaufanyia dhihaka.
kama analia basi mweleze kwa upendo mpeleke kwa dr pengine mwenzio ana fistula wewe unaona sawa tu.
 
Back
Top Bottom