Anakojoa mkojo unaonuka sana katikati ya tendo.

Anakojoa mkojo unaonuka sana katikati ya tendo.

Anayosema gfsonwin ni sahihi..Huyo mdada ana tatizo linaloitwa VESICOVAGINAL FISTULA.
Sehemu ya kizazi cha mwanamke zimekaribiana sana na kibofu cha mkojo/sehemu ya haja kubwa..Kukiwa na uwazi kati ya sehemu hizo kunaweza kusababisha kuvuja kwa mkojo au kinyesi.Dalili ya tatizo hilo ni kutoka kwa mkojo au kinyesi kupitia kwenye vagina (uke).
Inawezekana vilevile akawa ana squirt lakini ikumbuke squirt haitakiwi kuwa na harufu,inamaana huyo mwenza wako bado atakuwa na matatizo vilevile..Nakushauri umpeleke hospitali akapatiwe matibabu haraka iwezekanavyo...Inawezekana akahitaji upasuaji kuziba uwazi huo,na akahitaji ANTIBIOTICS kwaajili ya UTI.

asante sana mkuu..
 
Nakushauri uwe una mfack akiwa ameinama alaf chini weka ndoo...utakua umetatua tatizo laku kojolewa naku anika godoro...kuhusu harufu nunua airfrshnr zina saidia sana kuondoa harufu

duh.!ulaaniwe..
 
samahani-- labda hujui kwamba kuna kitu ku squirt

wewe ndie ambaye hujui, unachokisema.
squirting haitakiwi kua na harufu hata kidogo, na wala siyo disturbing hata kama itakuwa ina excess fluids, ukiona ina odor smell jua tyari infection ipo na huenda ni bacteria, na kama ni mjanja utaangalia aina ya fluid inayokuwa discharged kama ni greenisa ni bacteria na kama ni pinkish basi hiyo ni fungal, so far ingekuwa iko hivyo huyu mwenza angekuwa yuko kwenye chance za maambukizo ya magonjwa hayo.to me huyu mara moja naweza kumdiagonise kwamba ana VESICOVAGINAL FISTULA. ungekuwa unajua kaidogo bios ungejua kwann nilimwambia asimpe fluids before.
unapomzodoa mtu zodoa ukiwa na knowledge ya hicho unachokitetea.
 
fistula wakati wa mechi tu.?

hii ini vesicovaginal fistula, mwingine huweza kujikuta anatoa haja kubwa, ila inatibika mpeleke hospitali. niko scared na hiyo smell unayoifeel na hapa ningekwambaia ichunguze discharge inayomtoka je ni rangi gani?? greenish ama pinkish?? kama ni greenish basi huyu atakuwa na bacterial infection so anahitaji kumwona daktari, kama ni pinkish/yellowish hawa ni fungus. na kama ni kweli basi jua amesha kuambiza na wewe.
 
wewe ndie ambaye hujui,
unachokisema.
squirting haitakiwi kua na harufu hata kidogo, na wala siyo disturbing
hata kama itakuwa ina excess fluids, ukiona ina odor smell jua tyari
infection ipo na huenda ni bacteria, na kama ni mjanja utaangalia aina
ya fluid inayokuwa discharged kama ni greenisa ni bacteria na kama ni
pinkish basi hiyo ni fungal, so far ingekuwa iko hivyo huyu mwenza
angekuwa yuko kwenye chance za maambukizo ya magonjwa hayo.to me huyu
mara moja naweza kumdiagonise kwamba ana VESICOVAGINAL FISTULA. ungekuwa
unajua kaidogo bios ungejua kwann nilimwambia asimpe fluids before.
unapomzodoa mtu zodoa ukiwa na knowledge ya hicho unachokitetea.

ahsante mwalimu kwa ufafanuzi, wengi tumeelimika hapa.
 
Kama ni squirt huwa inalowesha hadi godoro;
wenzio wanatumia kutandika cover ya nylon ili kuepusha
kulowesha godoro;

halafu dogo we kweli hujui,
watu wanalilia hiyo wewe unailaani; ngoja wenzio wamjue
uone watakavyoshangilia.
 
teh teh teh mwanzisha uzi unaleta janja ya nyani wewe?
lakini haina shida mm nishakuelewa maana yako na nia yako sababu uzi wako umekaa kimtego mtego sana yaani kwa maelezo yako wajua nini unataka kujibiwa na sio kwamba hujui ulichoandika bali unataka kupima upepo wa wanajamvi

heheheheee kumbe umemuelewa analeta chemsha bongo hapa
 
heheheheee kumbe umemuelewa analeta chemsha bongo hapa
mm nisha msoma kitambo sana coz kaandika kama mtu anayejua na sio kama anahitaji nsaada bali anataka kuwachekecha watu mbongo zao
 
hii ini vesicovaginal fistula, mwingine huweza kujikuta anatoa haja kubwa, ila inatibika mpeleke hospitali. niko scared na hiyo smell unayoifeel na hapa ningekwambaia ichunguze discharge inayomtoka je ni rangi gani?? greenish ama pinkish?? kama ni greenish basi huyu atakuwa na bacterial infection so anahitaji kumwona daktari, kama ni pinkish/yellowish hawa ni fungus. na kama ni kweli basi jua amesha kuambiza na wewe.

like gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Kama ni squirt huwa inalowesha hadi godoro;
wenzio wanatumia kutandika cover ya nylon ili kuepusha
kulowesha godoro;

halafu dogo we kweli hujui,
watu wanalilia hiyo wewe unailaani; ngoja wenzio wamjue
uone watakavyoshangilia.

mkuu,watu wanalilia mkojo.?
una faida gan.?
 
Back
Top Bottom