verified user-huyu mpenzi wako sio member humu???maana by chance aione hii thread,si itakuwa world war 3
huyu verified user anaitwa Somji yaani mdosi-hizi verification process mmmmmhhHii story tu ya kuchamsha jukwaa. Anaweza kumuweka mpenzi wake humu kirahisi hivyo halafu anawaza ati kumuacha?
sasa si akojoe kwanza kabla ya mechi??
ushauri wangu usimpe maji wala soda ama pombe masaa 4 kabla ya mechi
ha ha ha ha! vp ikifika katikati akadai njaa inamuuma?
The Boss keshasema bibie ana squirt,wewe unasema akojoe kwanza kabla ya tendo-unanipa wasiwasi na ueleo wakosasa si akojoe kwanza kabla ya mechi??
ushauri wangu usimpe maji wala soda ama pombe masaa 4 kabla ya mechi
teh teh teh mwanzisha uzi unaleta janja ya nyani wewe?
lakini haina shida mm nishakuelewa maana yako na nia yako sababu uzi wako umekaa kimtego mtego sana yaani kwa maelezo yako wajua nini unataka kujibiwa na sio kwamba hujui ulichoandika bali unataka kupima upepo wa wanajamvi
dah,!
nikianza kumuelekeza analia tuu..