PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 12,573 Reaction score 9,076 Jun 4, 2025 #241 Pdidy said: Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote Click to expand... 3
Pdidy said: Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote Click to expand... 3
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 16,028 Reaction score 23,380 Jun 4, 2025 #242 Sky Eclat said: Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa? Click to expand... Hilo la kununiana ndiyo sumu inayovuruga zaidi kuliko kuleta suluhu.
Sky Eclat said: Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa? Click to expand... Hilo la kununiana ndiyo sumu inayovuruga zaidi kuliko kuleta suluhu.