Hivi kweli unaamini yale mafunzo ya masaa kadhaa kwenye kitchen party yanamuandaa mwanamke kwa maisha ya ndoa?Let us be realistic. Wanawake ndio chanzo kikuu cha matatizo ndani ya ndoa nyingi.
Yani hata haingii akilini,mtu analala chumba cha watoto na ukiangalia kitchen party alifanyiwa kabisa.
Kwa miaka ya sasa ivi kitchen party ni Ujinga tu kumejaa takataka huko zinazodanga kama unategemea zitamshauri mwenza wako vizuri basi umeumia Kuna vitu unaacha tu vifanyike kwa vile ni utamaduni ila impact yake ni ndogo sana mojawapo ni izo kitchen Party, Kaa na mwenzako wako mjuane vizuri kabla hamjaanza safari na migogoro ni kitu cha kawaida ila hakikisha una solve on time bila hata watoto kujua be strong we ndio head of the family epusha sana izo conflict sijui watu wanasema akilala kwa watoto wewe kalale club iyo ni Kuonesha hujakomaaLet us be realistic. Wanawake ndio chanzo kikuu cha matatizo ndani ya ndoa nyingi.
Yani hata haingii akilini,mtu analala chumba cha watoto na ukiangalia kitchen party alifanyiwa kabisa.
Endelea kukomaa naeSiokidogooo mkuuu....UNAWEZA waza yuKO nanani unasikia anawakoromea WATOTO hapo NDIPO mmojawaoo anaikana NDOA kwa vitendo mkuu
Na changamoto zote hizo bado ndoa inaraha zake hivyo oa.Kwa sisi ambao hatujaoa mnazidi kutukatisha tamaa ya kuoa
Mnatuogopesha sasaNa changamoto zote hizo bado ndoa inaraha zake hivyo oa.
Usiogope,unataka uwe Single FatherMnatuogopesha sasa
Una dada wa kaz hapo kwako ama mtu mzima? Kama ni ndio fanya hivi:-Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani
Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
Bruda Nini?Ma bruda tuna changamoto zetu ila wanandoa cha moto mnakiona
Zungumza na mkeo, shida ipo wapi?Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani
Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
[emoji23][emoji23] umechomekea sio.ihiiiiiii.....dashilile gashi abhagosha bha mbasa!!!mkuu tokomea atleast a week kusikojulikana make sure tu chakula na other services kwa kids zipo then tokomea,au mtongoze rafiki yake(hii nimechomekea tu)obheja
Kama mke sio mpenda ngono hali inakuwaje?Wakati mwingine mnawalaumu wanawake, tatizo waume wengi hawapendi kuwasikiliza wake zao, akirudi hana muda na wake zao wakurudi ni kula kwenda kulala mke anakuwa na vitu vingi vyakuongea na mme na akitaka kuongea naye jibu kachoka aachwe apumzike, sasa mke akaongee na nani wanaume wengi hamjielewi na hamjui nini maana ya mwenza, mechi zenyewe mbovu mke ataacha kuwa na stress? Nyie ndiyo mnafanya wachepuke kaeni na wazee mpate busara za ndoa.
Watawa wa kiumeBruda Nini?
Hongereni zenuWatawa wa kiume
Hamna mwanamke asiyependa ngono ukiwa uko vizuri hakinai Kama humfanyi vizuri anaona una mkera tuKama mke sio mpenda ngono hali inakuwaje?
Shida ni moja nimegundua katika mahusiano ya siku hizi. Watu wanaanza mahusiano wakiwa hawajuani kwasababu mnatumia muda wa kudate kupretend tofauti na namna tulivyo kiuhalisia.Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani
Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote