Heshima yako babuKhaaa! We mjukuu!
Reinherd Bonke. .. Alinitembeza kwa miguu toka Mwenge mpaka Jangwani... usafiri ilikuwa ishu na mama hakupenda kukosa mahubiri yake... ikabidi niwe msindikizaji na mlokole...Aahahahahhhaaaa kama nakuona ulivyokuwa vidole juu aahahahahahaaa
Umefanya nimkumbuke "R. Bonkey" mhubiri wa zamaniii alikuwa anahubiri viwanja vya jangwani basi akimponya mtu aliyekuwa haoni, utasikia anamwambia in English what do you see, aliyeponywa anasema kidolee (mhubiri anakuwa amenyoosha kidole chake juu)
Hadhira yote inashangilia aliyekuwa haoni sasa anaona.
Basi mhubiri na lafudhi ya kizungu anakazana kusema, kidoliiiii,kiiidoooliiiii kidoli, kidoliiii, kiiidoooliiiii (akimaanisha kidole aahahahahhahahaa)
Baabuuuu njoo tuu mbona huko PM ndo napapenda sana, kwani unanionea aibu hadi uniombe kibali cha kuja PM aahahahahhahaaaa mbiooooo.
Ahsante mjukuu. Leo umenishangaza sanaHeshima yako babu
Kijana napenda kukupa taarifa kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa takatifu ya kikatoliki. Sina mpango wa kufa hivi karibuni.
Nakukumbusha pia kuwa kutamani mke wa mtu ni dhambi kwa mujibu wa amri za Mungu katika biblia takatifu.
Leo nimekusamehe kwa kuwa ulikuwa hujui. Ila usije ukasema sijawahi kukuonya
Kasie Mahaba Matata ahsante kwa kunitaarifu hili.
Sky Eclat nakusubiri nyumbani kwa maongezi
Umemaliza.Wakati mwingine mnawalaumu wanawake, tatizo waume wengi hawapendi kuwasikiliza wake zao, akirudi hana muda na wake zao wakurudi ni kula kwenda kulala mke anakuwa na vitu vingi vyakuongea na mme na akitaka kuongea naye jibu kachoka aachwe apumzike, sasa mke akaongee na nani wanaume wengi hamjielewi na hamjui nini maana ya mwenza, mechi zenyewe mbovu mke ataacha kuwa na stress? Nyie ndiyo mnafanya wachepuke kaeni na wazee mpate busara za ndoa.
Reinherd Bonke. .. Alinitembeza kwa miguu toka Mwenge mpaka Jangwani... usafiri ilikuwa ishu na mama hakupenda kukosa mahubiri yake... ikabidi niwe msindikizaji na mlokole...
Ndio maana mpaka leo nimeokoka. Ahsante sana bwana Bonke,nimekusamehe lakini sitakusahau
Niko makini sana linapokuja swala la kutetea maslahi yangu...Babuu na wewe kwa mikwara hutaniwi Looh aahahahahhaaa
Huyo ni mjukuu alikuwa anasemeshana na bibi tuu.
Hapo kwenye maandishi mekundu si bure kuna mjeshi amekuvutisha cha Musoma aahahahahhaaa.
Kama hapendi ngono kwanini alikubali kuolewa?Kama mke sio mpenda ngono hali inakuwaje?
Mtu umeshamkinai hayo mawasiliano yatatoka wapi?!Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
Niko makini sana linapokuja swala la kutetea maslahi yangu...
Hujajua navyoumia nikiona mtu anakutongoza. Nasubiria siku unikubalie nianze kujenga ukuta. ODM ni mbinafsi. Hashei na mtu mali zake. Ni mbepari na mkabaila. Ujamaa nimemwachia Nyerere
Unatumia mawasiliano kumfahamisha kuwa umemkinahi uamuzi uwe kunyoa au kusukaMtu umeshamkinai hayo mawasiliano yatatoka wapi?!
Nikiwa mkubwa sitaki mapenzi![emoji2211][emoji2211][emoji2211]Unatumia mawasiliano kumfahamisha kuwa umemkinahi uaminifu uwe kunyoa au kusuka
Sijawahi kuwaza kutegemea pesa ya mtu kufanya maisha yangu hadi umri huu ukiachia misaada midogo na kupigana tafu.Mkuu usitegemee hela ya mtu ikusaidie utaishi kwa shida Sana na sio swala la ubinafsi
Badala ya kuangalia tatizo langu lipo wapi na yeye anaanza kunihukumu na kuleta upinzani utadhani anamfahamu huyo muhusika au anamjua vema.We naye Kama hujui kushauri si unyamaze. Mtu hayuko sawa, wewe unatia chumvi kwenye donda Tena! Duuuh
Hapana, yupo sahihi lakini kukwambia hivyo, mimi mwenyewe nimestuka namna umerespond kwenye situation ambayo nimekuelekeza vema tu. The issue ni kwamba umeichukulia aidha personal au kuna angle haujalewa.....Usinipangie Cha kuandika tafadhali ulitaka nimpake mafuta kwa mgongo wa chupa
Na nimemwambia pale kuwa hapa hajanielewanhata chembe the way amedefend hiyo hoja yake... Of course ameongea vitu valid ila ambavyo haviapply katika conflict resolution ya hii situation yangu, ina maana alichofanya ni kuzima kelele bila kuhakikisha kila mtu anapewa haki na mkorofi anadhibitiwa.Soma tena umuelewe huyu jamaa ama vinginevyo wewe mdada una Uwezo Finyu sana wa kuelewa na Kuchanganua mambo. Hata hivyo nabaki kuheshimu Mawazo yako Finyu
Umemaanisha jambo au swala ambalo kimashiko halihusiani sana na nilichokielezea. Sasa kwa mfano, mtu kupata kazi na kumgeuka mwenzake how does that even sound alright kwako?! Its like unabariki maamuzi yake kuwa yupo sahihi alichoamua... What about me, umeelewa niliposema huyu mtu amewaste my very precious time.... Do u understand the magnitude of the level of pain am in just kwa kufikiria weww unaona ni sawa alichofanya.....?!Wewe ndo hujaelewa nilicho maanisha, jifunze kujibu Jambo from different angles sio kujaji uelewa, kumbe wewe ndo si muelewa.
Uyaheshimu au usiyaheshimu ni maoni yangu na sio Sheria au katiba ya nchi useme lazima uyafate. Mfyuuuuuuu