0021 Senior Member Joined Oct 24, 2012 Posts 160 Reaction score 60 Apr 21, 2015 #1 Asalaaam..naomba ushauri wenu..nina mtoto mdogo mwenye umri wa miezi 11,ameibua tabia ya kulamba mkojo wake pale anapo kojoa sakafuni...hulala sakafuni na kuulamba...Je anatatizo la kiafya au ni tabia za kitoto?
Asalaaam..naomba ushauri wenu..nina mtoto mdogo mwenye umri wa miezi 11,ameibua tabia ya kulamba mkojo wake pale anapo kojoa sakafuni...hulala sakafuni na kuulamba...Je anatatizo la kiafya au ni tabia za kitoto?