Analamba mkojo wake

Analamba mkojo wake

0021

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
160
Reaction score
60
Asalaaam..naomba ushauri wenu..nina mtoto mdogo mwenye umri wa miezi 11,ameibua tabia ya kulamba mkojo wake pale anapo kojoa sakafuni...hulala sakafuni na kuulamba...Je anatatizo la kiafya au ni tabia za kitoto?
 
Back
Top Bottom