Analyse Story Collection

Analyse Story Collection

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,637
Reaction score
47,413
Pamekuwa na pm nyingi watu wakiomba link ya simulizi ambazo nimeshawahi kuziweka majukwaani. Mara nyingi nimekuwa najitahidi kuwapatia hizo link, ila muda mwingine nashindwa.

Nimeamua kuzikusanya zote na kuziweka kwenye Uzi mmoja ili iwe rahisi kwa mtu kuzipata.

1. Naitwa Analyse na hii ndio story yangu ya maisha: Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

2. Fumanizi la mama mwenye nyumba: Fumanizi la mama mwenye nyumba

3. Sijivunii na mama wa mtoto wangu: Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

4. Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee: Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

5. Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri: Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Hapa nimeweka zile ambazo zilikuwa ni ndefu, zile ambazo zilikuwa post moja au mbili sijazijumuisha.

Moderator YinYang kama itawapendeza, basi naomba huu Uzi muupin (sticky), ili usiweze kuhama. Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmenisaidia kufanikisha dhumuni la kuziweka hizi zote sehemu moja. Tofauti na hapo, haitakuwa rahisi kuaccess.

Thanks .

Analyse
 
Back
Top Bottom