Analysis za mapema dhidi ya Aziz Ki

Analysis za mapema dhidi ya Aziz Ki

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Akiwa amecheza mechi chache za mwanzoni mwa msimu, tayari mabwege wameanza kukosoa na kusema Yanga wamepigwa kwa usajili wa Aziz Ki. Wamesahau hata bwana wao Mayele hakuanza vema ligi lkn kwa sasa anawapiga kama ngoma.

Hata hivyo, ni Aziz Ki ndiye aliye assist bao safi la kwanza na kusaidia timu yake kubeba ngao ya jamii (achilia mbali kuwafunga mara mbili akiwa mchezaji wa Asec).

Aidha, amekuwa anachezesha timu vizuri pale mbele na hata build up ya bao la kwanza la jana ilianzia kwake.

Rage apewe PhD ya heshima.
 
Mpira ni mchezo wa wazi....hauhitaji muda na maelezo mengi kuelekea uwezo wa mchezaji uwanjani bali juhudi na vitendo vyake vitaonekana kupitia matunda yake........

Ingawa ni mapema sana kutoa analysis lakini Mimi kwa maoni yangu performance ya Stephanie Aziz Ki mpaka ipo chini ikilinganishwa na matarajio makubwa ya mashabiki......ni mchezaji pengine bado anahitaji muda.........

Tukianza na ;-
Ball control
Pass accuracy
Shoot accuracy
Space running
Final touches
 
Sawa
 
Huwezi kutumia muda mwingi kuwaelezea watu kazi za Fiston Mayele kwani kazi zinaojionyesha........inatakiwa hivi kwa Aziz Ki......Kuna kitu alikionyesha ndio maana klabu ya Yanga ikamwaga hela..... mashabiki wanataka wakione hicho kitu na sio maelezo mengi....
 
Simba mashabiki wao Wana miemuko Sana akianza kufunga wataanza tena kubadilisha Lugha.
Umeshasema AKIANZA..... kwasasa acha waongee mpaka pale ATAKAPOANZA.

Mzungu mlimfanyia makadirio baada ya mechi moja mkasema Simba Sc kapigwa, kwanini kwa KI mnataka apewe muda licha ya kucheza dk nyingi kuliko mzungu?[emoji1]
 
Akiwa amecheza mechi chache za mwanzoni mwa msimu, tayari mabwege wameanza kukosoa na kusema Yanga wamepigwa kwa usajili wa Aziz Ki. Wamesahau hata bwana wao Mayele hakuanza vema ligi lkn kwa sasa anawapiga kama ngoma.

Hata hivyo, ni Aziz Ki ndiye aliye assist bao safi la kwanza na kusaidia timu yake kubeba ngao ya jamii (achilia mbali kuwafunga mara mbili akiwa mchezaji wa Asec).

Aidha, amekuwa anachezesha timu vizuri pale mbele na hata build up ya bao la kwanza la jana ilianzia kwake.

Rage apewe PhD ya heshima.
MBUMBUMBU ni mataahira kweli, huyo Aziz Ki tayari ni mchezaji bora wa mwaka kwenye ligi kuu yao nchini Ivey Cost na yumo ktk timu ya Taifa, sasa hilo pakashume lao wanalolisifia sasa... [emoji13]
 
Huwezi kutumia muda mwingi kuwaelezea watu kazi za Fiston Mayele kwani kazi zinaojionyesha........inatakiwa hivi kwa Aziz Ki......Kuna kitu alikionyesha ndio maana klabu ya Yanga ikamwaga hela..... mashabiki wanataka wakione hicho kitu na sio maelezo mengi....
Uko sahihi, lakini hata mechi 5 tu za NBC PL hazijatimia ndiyo povu lote hilo?

MBUMBUMBU ni mataahira wanaoishi mitaani.
 
Umeshasema AKIANZA..... kwasasa acha waongee mpaka pale ATAKAPOANZA.

Mzungu mlimfanyia makadirio baada ya mechi moja mkasema Simba Sc kapigwa, kwanini kwa KI mnataka apewe muda licha ya kucheza dk nyingi kuliko mzungu?[emoji1]
Walimfanyia yeye na nani hayo makadirio huyo Mzungu JAJA aliyechangamka?

THIBITISHA.....
 
Huwezi kutumia muda mwingi kuwaelezea watu kazi za Fiston Mayele kwani kazi zinaojionyesha........inatakiwa hivi kwa Aziz Ki......Kuna kitu alikionyesha ndio maana klabu ya Yanga ikamwaga hela..... mashabiki wanataka wakione hicho kitu na sio maelezo mengi....
So far hajacheza vibaya. Alianza vzr ngao ya jamii (kama alivyoanza Mayele last season). Kumbuka Mayele alianza kufanya vzr kwenye ligi baada ya mechi kadhaa za mwanzo. Labda kama umefiufuka leo
 
Back
Top Bottom