Analysis za mapema dhidi ya Aziz Ki

Analysis za mapema dhidi ya Aziz Ki

Akiwa amecheza mechi chache za mwanzoni mwa msimu, tayari mabwege wameanza kukosoa na kusema Yanga wamepigwa kwa usajili wa Aziz Ki. Wamesahau hata bwana wao Mayele hakuanza vema ligi lkn kwa sasa anawapiga kama ngoma.

Hata hivyo, ni Aziz Ki ndiye aliye assist bao safi la kwanza na kusaidia timu yake kubeba ngao ya jamii (achilia mbali kuwafunga mara mbili akiwa mchezaji wa Asec).

Aidha, amekuwa anachezesha timu vizuri pale mbele na hata build up ya bao la kwanza la jana ilianzia kwake.

Rage apewe PhD ya heshima.
Huyo aziz ki ili akae sawa inabidi apelekwe kwa mganga yule wa chirwa na mayele na mliyemtumia kuwaroga ajib na gadiel miko yanga bila uchawi ni sawa na ihefu tu mshery kashaanza na diara tayari kazi iendelee
 
So far hajacheza vibaya. Alianza vzr ngao ya jamii (kama alivyoanza Mayele last season). Kumbuka Mayele alianza kufanya vzr kwenye ligi baada ya mechi kadhaa za mwanzo. Labda kama umefiufuka leo
Ni kweli
Lakini hata kama hata perform lakini kuna vitu vya msingi vinaonekana kwa mchezaji vinavyoashiria muendelezo wa mambo mazuri......alivyokuja Morisson kwa mara ya kwanza katika mechi ya kwanza tu mashabiki Kuna kitu walikiona kwa Morisson na ndicho anachokionyesha mpaka leo......

Kuanzia pasi.
Mikimbio.
Space analysis
Complete passes
Attempts.

Mjumuisho wa mambo hayo au hata machache katika hayo vinatoa Mwanga kwa mchezaji ambaye ni mgeni........

Nasikitika kusema kuwa haya yote sijayaona kwa Aziz Ki........mtazame Fei Toto akiwa na mpira....mtazame Yanick Bangala.....alafu mtazame Aziz Ki.

Jukumu kubwa la Aziz Ki ni kushambulia na kuunganisha timu baina ya midfielders na wings na attackers na kuwalisha mipira........Kwa majukumu ni mtu ambaye anatakiwa awe na uwezo mkubwa wa kukaa na mpira na maamuzi ya haraka akiwa na mpira......

Ukicheki kwa makini utaona kuwa magoli mengi ya Yanga Sasa hivi yanatokea pembeni tofauti na enzi zile Yuko Saido au Niyonzima...
 
Akiwa amecheza mechi chache za mwanzoni mwa msimu, tayari mabwege wameanza kukosoa na kusema Yanga wamepigwa kwa usajili wa Aziz Ki. Wamesahau hata bwana wao Mayele hakuanza vema ligi lkn kwa sasa anawapiga kama ngoma.

Hata hivyo, ni Aziz Ki ndiye aliye assist bao safi la kwanza na kusaidia timu yake kubeba ngao ya jamii (achilia mbali kuwafunga mara mbili akiwa mchezaji wa Asec).

Aidha, amekuwa anachezesha timu vizuri pale mbele na hata build up ya bao la kwanza la jana ilianzia kwake.

Rage apewe PhD ya heshima.
kwa jinsi alivyokomba akaunti zote za utopolo kwenye usajili wake, tuseme tuu ukweli hamna mchezaji hapo kulingana na pesa aliyokombaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaanza kuweka. Ni kama Mayele last season
 
Akiwa amecheza mechi chache za mwanzoni mwa msimu, tayari mabwege wameanza kukosoa na kusema Yanga wamepigwa kwa usajili wa Aziz Ki. Wamesahau hata bwana wao Mayele hakuanza vema ligi lkn kwa sasa anawapiga kama ngoma.

Hata hivyo, ni Aziz Ki ndiye aliye assist bao safi la kwanza na kusaidia timu yake kubeba ngao ya jamii (achilia mbali kuwafunga mara mbili akiwa mchezaji wa Asec).

Aidha, amekuwa anachezesha timu vizuri pale mbele na hata build up ya bao la kwanza la jana ilianzia kwake.

Rage apewe PhD ya heshima.
So mmeona
 
Ni kweli
Lakini hata kama hata perform lakini kuna vitu vya msingi vinaonekana kwa mchezaji vinavyoashiria muendelezo wa mambo mazuri......alivyokuja Morisson kwa mara ya kwanza katika mechi ya kwanza tu mashabiki Kuna kitu walikiona kwa Morisson na ndicho anachokionyesha mpaka leo......

Kuanzia pasi.
Mikimbio.
Space analysis
Complete passes
Attempts.

Mjumuisho wa mambo hayo au hata machache katika hayo vinatoa Mwanga kwa mchezaji ambaye ni mgeni........

Nasikitika kusema kuwa haya yote sijayaona kwa Aziz Ki........mtazame Fei Toto akiwa na mpira....mtazame Yanick Bangala.....alafu mtazame Aziz Ki.

Jukumu kubwa la Aziz Ki ni kushambulia na kuunganisha timu baina ya midfielders na wings na attackers na kuwalisha mipira........Kwa majukumu ni mtu ambaye anatakiwa awe na uwezo mkubwa wa kukaa na mpira na maamuzi ya haraka akiwa na mpira......

Ukicheki kwa makini utaona kuwa magoli mengi ya Yanga Sasa hivi yanatokea pembeni tofauti na enzi zile Yuko Saido au Niyonzima...
Utayaonaje wakati hauna macho mkuu?
 
Huyo aziz ki ili akae sawa inabidi apelekwe kwa mganga yule wa chirwa na mayele na mliyemtumia kuwaroga ajib na gadiel miko yanga bila uchawi ni sawa na ihefu tu mshery kashaanza na diara tayari kazi iendelee
.
 
Back
Top Bottom