Akiwa amecheza mechi chache za mwanzoni mwa msimu, tayari mabwege wameanza kukosoa na kusema Yanga wamepigwa kwa usajili wa Aziz Ki. Wamesahau hata bwana wao Mayele hakuanza vema ligi lkn kwa sasa anawapiga kama ngoma.
Hata hivyo, ni Aziz Ki ndiye aliye assist bao safi la kwanza na kusaidia timu yake kubeba ngao ya jamii (achilia mbali kuwafunga mara mbili akiwa mchezaji wa Asec).
Aidha, amekuwa anachezesha timu vizuri pale mbele na hata build up ya bao la kwanza la jana ilianzia kwake.
Rage apewe PhD ya heshima.