Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
na siku nyingine nalala gesti na vidosho.sasa sufuria,sofa vya nini wakati mi naingia ndani kulala tu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na siku nyingine nalala gesti na vidosho.sasa sufuria,sofa vya nini wakati mi naingia ndani kulala tu?!
So why are you telling us?Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
Kumbuka huyo ni mwanaume awe na sufuria asiwe nayo Sawa tofaut na mwanamke, mwanaume sipotandika kitanda hachekwi ila mwanamke utaambiwa mchafuNimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
Sio ajabu mwanamke kununua vyombo vya ndani kwa mpenzi wakoNimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.