Anampenda Mume wa Mtu

Mama Nim

Senior Member
Joined
Oct 15, 2009
Posts
123
Reaction score
3
Hivi sisi baadhi ya kina dada wanamatatizo gani? Wewe unafahamu vizuri kuwa jamaa ni mume wa mtu na bado unawatangazia watu kwamba atamuacha akuowe wewe. Unauhakika gani kwamba atamuacha mke wake wa zaidi ya miaka 15 na watoto 3 akuowe wewe?
Kuna dada kanikuna kweli aliponiletea kadi ya mchango eti anaolewa wakati jamaa bado anaishi na mkewe. Tatizo dem hajui wife ndiye mwenye mali, there is no way that guy is going to divorce his wife.
Naomba ushauri wa jinsi ya kumshawishi aachane na huyu jamaa kwani he's making her a laughing stock na watu wanamsema lakini hakuna anayetaka kumwambia ukweli.
 
nani kakudanganya kuwa hawezi kumuacha mkewe? kwanza mianamike iliyoolewa ndio yenye mibichwa migumu. believe atamuacha na atamuoa dogodogo na from there maisha yanakuwa tambarare!!!!!!!!!!!!!
 
Mama Nim, I guess ni wewe! Si useme tu tukushauri??
 
usimvunjie mwenzako bahati yake, muache ajaribu maisha ni kujaribu au?
 

nipe namba ya huyo dada nitawasiliana nae mambo yatakuwa safi
 
ahahahaha...kwan wewe mama nim hujawahi kusikia, kuona, au hata kusimuliwa kuwa mtu kamuacha mkewe na kaenda kuoa/kuishi na mwanamke mwingine???..sasa kwanini unaona hapa hiyo kitu haiwezekani??/...KILA KITU KINAWEZEKANA CHINI YA JUA
 
pole mama nim, chunga ndoa yako mengine yatafuata
 
nani kakudanganya kuwa hawezi kumuacha mkewe? kwanza mianamike iliyoolewa ndio yenye mibichwa migumu. believe atamuacha na atamuoa dogodogo na from there maisha yanakuwa tambarare!!!!!!!!!!!!!

HAHAHAHAH!
Ina maana akishaolewa huyo dogodogo anabakia dogodogo tu na sio jiamke liloolewa?
Wacha kutuchekesha bana! Ujue, huyo mke atakayeachwa ili huyo dogo wako aolewe, at one point in life alikuwa dogodogo plus na si ajabu huyo wa kwako akawa si mali kitu! Tumeyaona sana.Tena kibaya zaidi, huyo atakayeolewa baada, ana kazi kubwa maana tayari kuna benchmarks......
 
kuna vituko hapa chini ya jua ....
achana na huyo dada atapetape mwisho ataacha mwenyewe..angependwa kweli asingekuwa anachonga utadhani anaimba taarabu
 

hahah... mpenzi umeingia?????????

wewe ndo great thinker bwana wewe ndo huwa tunaongea tunaelewana.

unajua logic yangu pale ni kuwa, walioolwa wajue kuna wengine nje wanatamani vindoa vyao vilelgelege walambe madume yao so wasibweteke. kuwa na watoto si shu japo inauma kuona wakiteseka kwa sbabu ya talaka. hivyo wake chonjo> kilinde chako bila kuchoka mpenzi kuna shida gani kudumisha penzi na amani nyumbani?????????
 
wa pili ni wa pili tu, na wa kwanza ni wa kwanza tu, tofauti kubwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…