................. duh! je kama wale waliungana kwa bahati mbaya na huyu shost ndio ubavu wake mana ndio shost anaamini ivo hapo je inakuaje wale wadini waseme hapa
hakuna cha bahati mbaya. Wanaume huwa hawaoi ili mradi kaoa. Mwambie shosti asijidanganye.
weitaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! mpe husninyo nyama choma na kinywaji hapo.mimi mwenyewe dada yangu kama akipigwa na mumewe tunamfuata .. Nani anapenda ndugu yake awe na chongo au kilema cha maisha?
umeleona hilo ??? maana yeye anashangilia kwa sasa ila anakilio cha baadaye
Tena namhurumia huyo dada coz kuna kitu muhimu sana anakipuuzia. Kama huyo husband uchwara ameweza kumsaliti mkewe kwakutembea na mwanamke mwingine(ambae ni yeye) na kuzaa nae kabisa, atashindwa nini kufanya unyama kwa huyu shosti ambae ameshaanza kusilibwa mingumi ilihali bado mapema hivyo?? Analo nakwambia!
duh!.....................ila point taken mpzTena namhurumia huyo dada coz kuna kitu muhimu sana anakipuuzia. Kama huyo husband uchwara ameweza kumsaliti mkewe kwakutembea na mwanamke mwingine(ambae ni yeye) na kuzaa nae kabisa, atashindwa nini kufanya unyama kwa huyu shosti ambae ameshaanza kusilibwa mingumi ilihali bado mapema hivyo?? Analo nakwambia!
mwe we nawe hata kupooza huwez mla huliwa ndio nn sasa
kweli ktk wote walioongea leo ww umenena nimekupenda bureYaani maumivu mnayodhani wadada zenu wanayapata kwa waume zao ni vipigo vya mikono tu! Teteteteeeeeeeeee, jamani kuna vipigo vingine wadada zetu mnavipata ni vya hatari lakini hamvisemi maana ni aibu kuviongelea mbele za watu. jamani twende tu kwa wadada zetu, tunywe tule ila usiku kuna mambo yanawakuta toka kwa waume zao kamwe hawawezi kuyasema masikioni mwetu. Wanavumilia mpaka mwisho wa maisha yao.
Acheni tu nini vipigo vya nje bwana. Wanapigwa mpaka wakiachika hawawezi kuolewa tena maana inakuwa mtu amechoka kabisa labda mpaka booster ya mchina itumike, nayo husaidia kwa muda tu!
yy uko na shida gani mbaya ili hali kapenda kupiliza mwe!
Duh.................upofu kwa mtu anayekupiga dear,achilia mbali the fact that ni mume wa mtu!!!!!??
P.S
Natoa wito wanawake wenzangu, jamani katika mapenzi there has to be a line, pls pls always make sure you have one and you stick to it
leo uko na mipoint umeamkia ubavu gani leo mpz.........point takenLet me second this plz, ifikie kipindi a person should have a point of ENOUGH! Haya mapenzi ya kuvagaa vagaa tu yaani mtu anakuwa anahang hang tu bila msimamo wala muelekeo maalum yatatucost!! Mtu unakuja kushtuka while it is too late! Ohoooo.......!
unapenda udaku mwe hahaaaa
ndio kaja huyo mpya sasa na yuko tayari kukaa naye pamoja na huyo dogo wake wa 1 year ila shost anajickia vibaya kumtwika yule kaka kazi ya kumlea yy pamoja ma dogo while msure wake yuko wa mkidi wake sijui umenisoma hapo meeeeeeeeeeeeeeeeenhuko si kupenda ila ni uzezeta ... kwa nini aitafute wake ndo akapenda???