Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

................. duh! je kama wale waliungana kwa bahati mbaya na huyu shost ndio ubavu wake mana ndio shost anaamini ivo hapo je inakuaje wale wadini waseme hapa

hakuna cha bahati mbaya. Wanaume huwa hawaoi ili mradi kaoa. Mwambie shosti asijidanganye.
 
umeleona hilo ??? maana yeye anashangilia kwa sasa ila anakilio cha baadaye
 
weitaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! mpe husninyo nyama choma na kinywaji hapo.mimi mwenyewe dada yangu kama akipigwa na mumewe tunamfuata .. Nani anapenda ndugu yake awe na chongo au kilema cha maisha?

Yaani maumivu mnayodhani wadada zenu wanayapata kwa waume zao ni vipigo vya mikono tu! Teteteteeeeeeeeee, jamani kuna vipigo vingine wadada zetu mnavipata ni vya hatari lakini hamvisemi maana ni aibu kuviongelea mbele za watu. jamani twende tu kwa wadada zetu, tunywe tule ila usiku kuna mambo yanawakuta toka kwa waume zao kamwe hawawezi kuyasema masikioni mwetu. Wanavumilia mpaka mwisho wa maisha yao.

Acheni tu nini vipigo vya nje bwana. Wanapigwa mpaka wakiachika hawawezi kuolewa tena maana inakuwa mtu amechoka kabisa labda mpaka booster ya mchina itumike, nayo husaidia kwa muda tu!
 
umeleona hilo ??? maana yeye anashangilia kwa sasa ila anakilio cha baadaye

Tena namhurumia huyo dada coz kuna kitu muhimu sana anakipuuzia. Kama huyo husband uchwara ameweza kumsaliti mkewe kwakutembea na mwanamke mwingine(ambae ni yeye) na kuzaa nae kabisa, atashindwa nini kufanya unyama kwa huyu shosti ambae ameshaanza kusilibwa mingumi ilihali bado mapema hivyo?? Analo nakwambia!
 
yeye anaona ufahari kula vya watu ... naye ataanza kuliwa vyake
 
Tena namhurumia huyo dada coz kuna kitu muhimu sana anakipuuzia. Kama huyo husband uchwara ameweza kumsaliti mkewe kwakutembea na mwanamke mwingine(ambae ni yeye) na kuzaa nae kabisa, atashindwa nini kufanya unyama kwa huyu shosti ambae ameshaanza kusilibwa mingumi ilihali bado mapema hivyo?? Analo nakwambia!
duh!.....................ila point taken mpz
 
mwe we nawe hata kupooza huwez mla huliwa ndio nn sasa

siwezi kupoza tena anatakiwa apewe ya motomoto.... maana akikaa na huyo bwana wapo wengine watampata huyo bwana na usiache kuleta jamvini huo mgogoro mpya
 
Yaani maumivu mnayodhani wadada zenu wanayapata kwa waume zao ni vipigo vya mikono tu! Teteteteeeeeeeeee, jamani kuna vipigo vingine wadada zetu mnavipata ni vya hatari lakini hamvisemi maana ni aibu kuviongelea mbele za watu. jamani twende tu kwa wadada zetu, tunywe tule ila usiku kuna mambo yanawakuta toka kwa waume zao kamwe hawawezi kuyasema masikioni mwetu. Wanavumilia mpaka mwisho wa maisha yao.

Acheni tu nini vipigo vya nje bwana. Wanapigwa mpaka wakiachika hawawezi kuolewa tena maana inakuwa mtu amechoka kabisa labda mpaka booster ya mchina itumike, nayo husaidia kwa muda tu!
kweli ktk wote walioongea leo ww umenena nimekupenda bure
 
Duh.................upofu kwa mtu anayekupiga dear,achilia mbali the fact that ni mume wa mtu!!!!!??

P.S
Natoa wito wanawake wenzangu, jamani katika mapenzi there has to be a line, pls pls always make sure you have one and you stick to it

Let me second this plz, ifikie kipindi a person should have a point of ENOUGH! Haya mapenzi ya kuvagaa vagaa tu yaani mtu anakuwa anahang hang tu bila msimamo wala muelekeo maalum yatatucost!! Mtu unakuja kushtuka while it is too late! Ohoooo.......!
 
siwezi kupoza tena anatakiwa apewe ya motomoto.... maana akikaa na huyo bwana wapo wengine watampata huyo bwana na usiache kuleta jamvini huo mgogoro mpya
unapenda udaku mwe hahaaaa
 
Let me second this plz, ifikie kipindi a person should have a point of ENOUGH! Haya mapenzi ya kuvagaa vagaa tu yaani mtu anakuwa anahang hang tu bila msimamo wala muelekeo maalum yatatucost!! Mtu unakuja kushtuka while it is too late! Ohoooo.......!
leo uko na mipoint umeamkia ubavu gani leo mpz.........point taken
 
huko si kupenda ila ni uzezeta ... kwa nini aitafute wake ndo akapenda???
ndio kaja huyo mpya sasa na yuko tayari kukaa naye pamoja na huyo dogo wake wa 1 year ila shost anajickia vibaya kumtwika yule kaka kazi ya kumlea yy pamoja ma dogo while msure wake yuko wa mkidi wake sijui umenisoma hapo meeeeeeeeeeeeeeeeen
 
hakuna cha bahati mbaya. Wanaume huwa hawaoi ili mradi kaoa. Mwambie shosti asijidanganye.
mwe!........ila kweli mpz mana asingeweza kujibu yale maswali yote kanisani matatu kama hampendi mtu
 
Back
Top Bottom