Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
ndugu yangu hayatakaa yaishe.Mna ushaidi kwamba anamwacha mahakamani?Huyo jamaa ni muongo wala hana mpango wa kumpa talaka mkewe na yawezekana mkewe hata kibaoi hampigi,huyo rafikiyo nddio punch bag.Kuna mdada mmoja nnamjua(ningetaja kazi yake lakini akiona hii thread atajijua tu na ntamponza asiyehusika)huu mwaka wa nane anasubiria mke apewe talaka ananunuliwa magari na kujengewa nyumba na huyo mme wa mtu lakini kipigo ni mpaka anapelekwa hospital,mkewe hathubutu kumpiga hata kofi. wala kumpa hiyo talaka.
mama mkwe huu mfano ni mzuri sana ka dada yetu ..najua akisoma atajua kuwa unamaanisha nini kwani stori zinashhabiana
U have said all dear. Imauma sana aisee usisikiehakuna cha kipenda roho ni ujinga lakini akumbuke umtendeapo mtu baya malipo yapo ... next time utakuja kutuambia rafikiyo amemfumania huyo mwanaume na atakuwa analalamika wakati yeye anachofanya ni sawa na mauaji hajui huyo mwanamke mwenzake ataathirika vipi kisaikolojia au maisha yake yatakuwaje akimpoteza mume
U have said all dear. Imauma sana aisee usisikie
U have said all dear. Imauma sana aisee usisikie
...scream it out your backTrey Songz.....what's crackin' compadre?
anampenda tu kwa dhati na haoni mwingine yani moyo wake wote umemjaa huyo bwana wa mtu hata akitaka kumwingiza new hawezi kuingia mana nafasi is full ................so labda huyo mpya ndio afanye hiyo kazi ya kumfuta yule mume ndani ya head ya huyo shost tatizo ndio hilo shost anaogopa kumpa nafasi huyu mpya anaogopa naye anaweza kua ka yule tu .............imean kipigo,muongo.na pengine naye kaoakang'ang'ana nini kwa mme wa mtu?
the true love aliyonayo kwa huyo mume wa mtu ndio inayomuua sasa..............yani yy aliingia mazima hakuacha hata kalio moja nje liwe linaangalia upepo waendaje ndio mana kutoka inakua ngumu koz kashanenepea huko ndani so toka yake hadi operation tena mana aliingia mwembamba kanenepea ndaniEh huyo shost wako anapenda kupendwa kiugumu! Yaani kwa hamu kabisa anasubiria kukabidhiwa kipondo milele!! Kweli tumetofautiana!
Mpe pole
anasoma public relation mwaka mmoja wa luga minne ya degree ndio ilivo hukukheee huyu binti anasoma kozi gani hyo miaka 5..KABLA hajazaa kaishi 2 yrs na huyo bwana alivozaa akawa kabakiza 3 yrs amalize shule????mhhh story zingine bana
huu ndio ushauri mzuri mi naona utamfaa sasaKwani ye wanaume ndo maisha yake? Kwa sasa hivi akitulia bila kuwa na mwanaume atakufa, au wakati akiwa tumboni mwa mama yake alipigwa chata ya mwanaume kwenye moyo wake?? Namshauri kwa sasa aweke kando kwanza hayo mambo ya wanaume, atulize akili apate muda wa kufikiria vizuri na ajipe muda wa kufanya mambo mengine ya muhimu kwake! Really, aachane na hiyo relationship kama anajipenda!
halooooooooooooooooooooo...........................................yataka timing babuuuuuuuuuuuuu we kwanini unang'ang'aniza huyo brand new?????????/wewe kipipi sasa unaharibu sherehe ...huyu si kapata mtu ambaye anampenda..na huyo mtu yupo single basi inabidi awe naye kwa mda na waendelee kusomana hai watakapoamua wenyewe waoane lini kwani huyo rafiki yake anatakiwa awe na mtu wa kumshauri na kumliwza
umenena barabara mpz................me love u more yani ,mnooooooooooooooYaani we unaangalia sherehe tu na kuliwazwa? Kwa kipimo kipi hata aweze kuamini kuwa huyo brand new ana mapenzi ya dhati? Haven't u seen that huyo dada yuko dilema the thing that signifies her first step to her poor decisions? I think angetuliza kwanza akili though she can allow just a normal friendship with that other guy!