Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
ndugu yangu hayatakaa yaishe.Mna ushaidi kwamba anamwacha mahakamani?Huyo jamaa ni muongo wala hana mpango wa kumpa talaka mkewe na yawezekana mkewe hata kibaoi hampigi,huyo rafikiyo nddio punch bag.Kuna mdada mmoja nnamjua(ningetaja kazi yake lakini akiona hii thread atajijua tu na ntamponza asiyehusika)huu mwaka wa nane anasubiria mke apewe talaka ananunuliwa magari na kujengewa nyumba na huyo mme wa mtu lakini kipigo ni mpaka anapelekwa hospital,mkewe hathubutu kumpiga hata kofi. wala kumpa hiyo talaka.
mama mkwe huu mfano ni mzuri sana ka dada yetu ..najua akisoma atajua kuwa unamaanisha nini kwani stori zinashhabiana