Anampenda sana ndiyo maana hatamgusa….

Anampenda sana ndiyo maana hatamgusa….

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Yumkini hawa marafiki wawili ambao walisoma wote kuanzia chekechea hadi kidato cha nne na baadaye kutawanyika kila mmoja kiguu kwa njia kwa minajili ya kutafuta riziki ya maisha……………..bila ya hata kuagana kiutu uzima……………………………………………………..

Baada ya miaka 35 hivi wakakutana nchi ya watu……….Marekani. Kidosho sasa kaolewa na mzungu na ana watoto wawili huku njemba nayo mambo siyo mabaya anao wake 5 and still counting………………………akiwa na mmatumbi mwenzie kutoka nchi moja ya kiafrika iliyojibatiza jina hivi karibuni……………….”NOLLYWOOD’

Hawa wa TZ walipokuwa bado makinda walikuwa ni chanda na pete bila ya kumkashifu Mwenyezi Mungu kwenye utukufu wake kwa kuchakachuana…….lol………………………………….lakini sasa kila mmoja anajilaumu kwa hilo na sasa wanapeana mashinikizo ya kuirarua TORATI TUKUFU………………………………

Wana visingizio lukuki vikiwemo…………………………at those were the days tulikuwa tunasumbuliwa na maradhi ya kuogopana si wajua utoto tena………………………lol……………………………………

Kidosho naye anajibu mapigo akinena ya kuwa mzungu wake pamoja na kujaa michuzi kishenzi ni baridi sana…………………..yarabi………………………………………..kwa hiyo ananalilia damu motomoto ya kimatumbi………….Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhh…………

Na njemba yajiliwaza ya kuwa Mnoolywood wake kamchosha na tambo zake za kusifia makwao huku akisigina Bongo na nchi nyingine kama hizo ambazo hudai…….ngebe nyingi lakini utekelezaji ni sifuri yenye makengeza………………….lol……………………………..

Njemba aliponiuma sikio na kutaka ushauri sikumkawiza kwa kumlipua bila hata chembe ya huruma ya kuwa majibu kidosho mwenye makeke kibao ……………………….kuwa …………………………..Anampenda sana na ndiyo maana hawezi kumtafuna………………………lol…………

Wenye maoni tofauti ya haya karibuni sana…………………………………………….ninawakilisha………hoja mezani………….
 
Hata sijaelewa kitu....sijui ni usingizi!!
 
mkuu yani nikifika mwisho nasahau story ilivoanza
 
mie nukta zimenichanganya...ngoja nizimue then ntarudi.
 
Shigongo anatafuta wasaidizi ktk shughuli zake za utunzi wa hadith so mkuu ka vp apply.
 
mkuu yani nikifika mwisho nasahau story ilivoanza
kasema eti kulikuwa na jamaa mmoja............ enzi za utoto ...........alikuwa na kidosho sijui! ...........kha! mi mwenyewe nimechemka.hivyo videshi deshi huko kati ndio kabisaaaaa full kuchanganya.
 
hapo mwisho umenichanganya hii story inaelekea nzuri ila mbwembwe za mwandishi zitatufanya wengine tukose uhondo aliotaka kuufikisha
 
Mkuu tueleweshage basi tuelewe ili tucomment yaani mi sijaelewa kabisaaa!!
 
hivi saiv ni sa ngapi? mi ndo naamka
 
Haha pipo bhana! Hakijaeleweka nini au ndo mwajifanyia classical condition? m2 mmoja akisema hv wote mwafata?
 
[h=2][/h]
Haha pipo bhana! Hakijaeleweka nini au ndo mwajifanyia classical condition? m2 mmoja akisema hv wote mwafata?

Ndilo la tatizo la JF......akianza mmoja wengine tunamfuata kama nyumbu...............................sijui kama humu kuna great thinkers...........................au ni kiwanja cha ubabaishaji tu................................
 
Back
Top Bottom