Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Yumkini hawa marafiki wawili ambao walisoma wote kuanzia chekechea hadi kidato cha nne na baadaye kutawanyika kila mmoja kiguu kwa njia kwa minajili ya kutafuta riziki ya maisha
..bila ya hata kuagana kiutu uzima
..
Baada ya miaka 35 hivi wakakutana nchi ya watu .Marekani. Kidosho sasa kaolewa na mzungu na ana watoto wawili huku njemba nayo mambo siyo mabaya anao wake 5 and still counting akiwa na mmatumbi mwenzie kutoka nchi moja ya kiafrika iliyojibatiza jina hivi karibuni .NOLLYWOOD
Hawa wa TZ walipokuwa bado makinda walikuwa ni chanda na pete bila ya kumkashifu Mwenyezi Mungu kwenye utukufu wake kwa kuchakachuana .lol .lakini sasa kila mmoja anajilaumu kwa hilo na sasa wanapeana mashinikizo ya kuirarua TORATI TUKUFU
Wana visingizio lukuki vikiwemo at those were the days tulikuwa tunasumbuliwa na maradhi ya kuogopana si wajua utoto tena lol
Kidosho naye anajibu mapigo akinena ya kuwa mzungu wake pamoja na kujaa michuzi kishenzi ni baridi sana ..yarabi ..kwa hiyo ananalilia damu motomoto ya kimatumbi .Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhh
Na njemba yajiliwaza ya kuwa Mnoolywood wake kamchosha na tambo zake za kusifia makwao huku akisigina Bongo na nchi nyingine kama hizo ambazo hudai .ngebe nyingi lakini utekelezaji ni sifuri yenye makengeza .lol ..
Njemba aliponiuma sikio na kutaka ushauri sikumkawiza kwa kumlipua bila hata chembe ya huruma ya kuwa majibu kidosho mwenye makeke kibao .kuwa ..Anampenda sana na ndiyo maana hawezi kumtafuna lol
Wenye maoni tofauti ya haya karibuni sana .ninawakilisha hoja mezani .