Anamtafuta baba yake aitwaye Method Kapinga wa Namtumbo Songea, Ruvuma

MWANAMASOKO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
213
Reaction score
94
Bi. Betty (Rehema) Fwelefwele Kalala wa Musoma vijijini mkoa wa Mara anamtafuta baba yake mzazi aitwae METHOD KAPINGA kabila Mnyakyusa(mama mtu ndio anadai method ni mnyakyusa ila kutokana na jina la kapinga ni jina la kabila la watu wa mkoa wa Ruvuma ambao ni wangoni, wamatengo na wadendeule wanaopatikana sana mbinga, songea na nyasa).

Dini Muislamu anatokea mkoa wa Mbeya. Pia hata familia ya mzee huyo kama atakuwa amefariki.

Mzee method kwa sasa umri wake utakuwa kuzidi miaka 75 kama atakuwa bado yupo hai. Mzee Method alimwacha mtoto wake toka akiwa na miezi 3 kuzaliwa.

Wajihi wake.

Alikuwa na chongo jicho moja na alikuwa anavaa miwani

Historia kwa ufupi.

Mama wa Betty anaitwa SARA FWELEFWELE KALALA (yupo hai) alikutana na Method kijijini Butiama mkoa wa Mara mwaka 1976. Bi Sara alikuwa anafanya kazi kwa mdogo wa mwalimu Nyerere aitwae Joseph Nyerere. Na Method alikuwa ni mwalimu mkuu shule ya msingi Butiama. Bi sara alikuwa akiishi kwa kaka yake aitwae Juma Fwelefwele Kalala.

Waliingia kwenye mahusiano na ndipo walipopata mtoto wa kike mwaka 1977 ambapo baba mtu alipendekeza jina la Rehema ambalo ni jina la shangazi yake.

Baada ya bi Sara kujifungua alirudi kijijini kwao Ryasembe-Majita bay-Musoma vijijini. Baada ya miezi mitatu bwana Method akaenda kumwona mtoto na mama yake akiwa amembata na marafiki zake wawili ambao walikuwa wanafanya kazi wote shule ya msingi butiama mwanzoni ila waliamishiwa shule ya msingi Murangi ambayo ipo karibu na kijiji cha nyasembe huku Method akibaki butiama hivyo bwana Method alitoka butiama na kuwapitia marafiki zake hapo.

Marafiki hao ni:-

Monika Madaha baada ya kustaafu alirudi butiama.

Ally Adieli baada ya kustaafu alirudi Tanga

Christina.

Walipofika kwao. Bwana Method alitaka kulipa faini na kumchumbia Sara kisha arudi nae butiama pamoja na mtoto wao. Bahati mbaya wazazi wa Sara walikataa.
Bwana Method aliondoka kurudi butiama na baada ya muda aliamishiwa shule ya msingi Kiabakari na toka hapo hawakuonana tena.

Baada ya kuona kimya Rehema alibadilishwa jina na kuitwa Betty na kupewa ubini wa mama yake.

Kwa sasa Betty ana umri wa miaka 47 ameolewa na ana watoto. Anaishi kijiji cha Chumwi na mamanyake yupo palepale Ryasembe.

Namba za simu za Betty:-
+255 766 465 950

Namba za watoto wa Betty:-
George
+255 766 865 738
+255 621 881 206
Paul
+255 693 034 975

Mama wa Betty
+255 756 819764
+255 688 044 974

Mdogo wa betty
Mariam]
+255 768 832 370
+255 787 137 835

Hivyo kulingana na maelezo hayo. Yeyote atakayemfahamu au kuijua familia ya mzee buyo awasiliane na namba hizo hapo juu.

Nawasilisha.
 
Attachments

  • IMG-20240905-WA0004.jpg
    IMG-20240905-WA0004.jpg
    43 KB · Views: 5
  • IMG-20240905-WA0005.jpg
    IMG-20240905-WA0005.jpg
    56.3 KB · Views: 5
Hili jina kama.la marehemeu

wanakubai tu kiholela, hakuna namna nzuri ya kurasimisha hitaji lake?
Na kwakuwa ni mwalimu.. aende kwenye vyama vya ualimu Ofisi zao. na mifuko ya mafao NSSF wamasaidie kuiangalia kumbukumbu zake.. maana sini ni mwalimu?.. itakuwa rasm kujua alipo sasa na namba zake
 
Ngumu sana. Nchi yetu kwa utunzaji wa kumbukumbu bado sana
Na kwakuwa ni mwalimu.. aende kwenye vyama vya ualimu Ofisi zao. na mifuko ya mafao NSSF wamasaidie kuiangalia kumbukumbu zake.. maana sini ni mwalimu?.. itakuwa rasm kujua alipo sasa na namba zake
 
KWA WATU WA NAMTUMBO-SONGEA-RUVUMA

Bi. Betty (Rehema) Fwelefwele Kalala wa Musoma vijijini mkoa wa Mara anamtafuta baba yake mzazi aitwae METHO KAPINGA. kapinga ni jina la kabila la watu wa mkoa wa Ruvuma ambao ni wangoni,wamatengo na wandendeule hivyo kabila lake ni moja kati ya hayo.Dini Muislamu anatokea mkoa wa Ruvuma Songea namtumbo. Pia hata familia ya mzee huyo kama atakuwa amefariki.

Mzee method kwa sasa umri wake utakuwa kuzidi miaka 75 kama atakuwa bado yupo hai. Mzee Method alimwacha mtoto wake toka akiwa na miezi 3 kuzaliwa.

Wajihi wake.

Alikuwa na chongo jicho moja na alikuwa anavaa miwani

Historia kwa ufupi.

Mama wa Betty anaitwa SARA FWELEFWELE KALALA (yupo hai) alikutana na Method kijijini Butiama mkoa wa Mara mwaka 1976. Bi Sara alikuwa anafanya kazi kwa mdogo wa mwalimu Nyerere aitwae Joseph Nyerere. Na Method alikuwa ni mwalimu mkuu shule ya msingi Butiama. Bi sara alikuwa akiishi kwa kaka yake aitwae Juma Fwelefwele Kalala.

Waliingia kwenye mahusiano na ndipo walipopata mtoto wa kike mwaka 1977 ambapo baba mtu alipendekeza jina la Rehema ambalo ni jina la shangazi yake.

Baada ya bi Sara kujifungua alirudi kijijini kwao Ryasembe-Majita bay-Musoma vijijini. Baada ya miezi mitatu bwana Method akaenda kumwona mtoto na mama yake akiwa amembata na marafiki zake wawili ambao walikuwa wanafanya kazi wote shule ya msingi butiama mwanzoni ila waliamishiwa shule ya msingi Murangi ambayo ipo karibu na kijiji cha nyasembe huku Method akibaki butiama hivyo bwana Method alitoka butiama na kuwapitia marafiki zake hapo.

Marafiki hao ni:-

Monika Madaha baada ya kustaafu alirudi butiama.

Ally Adieli baada ya kustaafu alirudi Tanga

Christina.

Walipofika kwao. Bwana Method alitaka kulipa faini na kumchumbia Sara kisha arudi nae butiama pamoja na mtoto wao. Bahati mbaya wazazi wa Sara walikataa. Bwana Method aliondoka kurudi butiama na baada ya muda aliamishiwa shule ya msingi Kiabakari na toka hapo hawakuonana tena.

Baada ya kuona kimya Rehema alibadilishwa jina na kuitwa Betty na kupewa ubini wa mama yake.

Kwa sasa Betty ana umri wa miaka 47 ameolewa na ana watoto. Anaishi kijiji cha Chumwi na mamanyake yupo palepale Ryasembe.

Namba za simu za Betty:-
+255 766 465 950

Namba za watoto wa Betty:-
George
+255 766 865 738
+255 621 881 206
Paul
+255 693 034 975

Mama wa Betty
+255 756 819764
+255 688 044 974

Mdogo wa betty
Mariam]
+255 768 832 370
+255 787 137 835

Tumepatavtaarifa kuwa bwana Method alirudi kwao Namtumbo Songea mkoa wa Ruvuma.

Hivyo kulingana na maelezo hayo. Yeyote atakayemfahamu au kuijua familia ya mzee buyo awasiliane na namba hizo hapo juu.

Nawasilisha.

IMG-20240905-WA0004.jpg
IMG-20240905-WA0005.jpg
 
Itakuwa vizuri wakifanikiwa, ila wangemuacha na Jina lake pia. Rehema lipo potepote. Kila la kheri kwao
 
Back
Top Bottom