Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
msikiti wa Qubat Sakhra uko Buyuni, Pemba Mnazi, jina la Sheikh ni Abdallah Mwinyihaji Salum
Mimi huwa napenda sana picha hebu mvizie mdigitalize! akiwa na bagarashia na kanzu yake halafu nitumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msikiti wa Qubat Sakhra uko Buyuni, Pemba Mnazi, jina la Sheikh ni Abdallah Mwinyihaji Salum
Mmem-ban Malaria Sugu ili mvinjari na threads za namna hii eeh, kwa maana ya tafsiri ya Sunna, kindly Masanilo apologize MS, Nilham, Abdulhallim, Zubeda and all muslim society-otherwise I will spearhead the race to make sure that Masanilo also is the next to be banned after MS!
Mmem-ban Malaria Sugu ili mvinjari na threads za namna hii eeh, kwa maana ya tafsiri ya Sunna, kindly Masanilo apologize MS, Nilham, Abdulhallim, Zubeda and all muslim society-otherwise I will spearhead the race to make sure that Masanilo also is the next to be banned after MS!
Mimi huwa napenda sana picha hebu mvizie mdigitalize! akiwa na bagarashia na kanzu yake halafu nitumie
hii thread kama ina udini hivi???
labda huyo mkata majani ana mvuto fulani hivi wa kichoko
Mkuu mbona unachuki sana za kidini! Watanzania hatukulelewa hivyo. Kemea kitendo cha huyu Sheikh ni Abdallah Mwinyihaji Salum! Rev Masanilo kula ban haitakuwa mara ya kwanza ndugu yangu. Keep the ball rolling.
Leo jioni ntaenda tena shamba maana nimepigiwa simu kuwa kuna ng'ombe wangu kazaa, nitahakikisha nakuja na picha yake, kwa gharama yoyote lazima huyu sheikh aumbuliwe
Mkuu, sina hata chembe ya dini by nature, since jamaa ameshaweka jina na mskiti husika hapa sasa najoin crew kulaani kwa nguvu zote kitendo cha sheh huyo, nawaomba wakazi wa huko wafuatilie ili wamuwekee 'shuura' then wamtimue kama itathibitika-kwani ni uchafu mkubwa kabisa huo uliopelekea hata kizazi cha Nabii luti kuangamizwa. Hata hivyo hoja yangu bana Revolutionarist ni kwamba, huwezi kuuita upuuzi huu kuwa ni sunna, hebu google maana ya sunna then upate majibu!
nasapoti hii!!Andaa mtego. Uwe na camera kabisa na walau mwandishi mmoja wa udaku awepo.
kudadeki, 'paroko ni muathirika'...Kinyume cha hii story kimetokea huku kwetu mbinga, paroko ana scandal ya kulawitiwa na kijana mchunga ng'ombe. Wiki ya tatu sasa haonekani, inahisiwa paroko ni muathirika. Wazazi wa kijana mchunga ng'ombe wanatishia kumshitaki paroko mahakamani
Kinyume cha hii story kimetokea huku kwetu mbinga, paroko ana scandal ya kulawitiwa na kijana mchunga ng'ombe. Wiki ya tatu sasa haonekani, inahisiwa paroko ni muathirika. Wazazi wa kijana mchunga ng'ombe wanatishia kumshitaki paroko mahakamani