Anamtongoza kijana wangu wa ng'ombe

Anamtongoza kijana wangu wa ng'ombe

Mungu kanijalia mifugo mingi kiasi ambayo iko eneo la Buyuni kata ya Pemba Mnazi, Tarafa ya Kigamboni ambako ndiko shamba langu liliko.
Jirani ya shamba langu kuna msikiti na sheikh mmoja anaishi hapo msikitini.
sheikh huyo amekuwa akimsumbua kijana wangu kwa kumtongoza na kumuomba wawe wanafanya mapenzi (wote wawili ni wanaume).
Kijana wangu amekataa lakini sheikh anaendelea kumfuatilia, je nifanyeje ili kumkomesha sheikh na hiyo tabia, maana kijana wangu anatishia kuacha kazi iwapo sheikh ataendelea kumtongoza.
mtafutie wakora wammege...ila asikujue ni wewe...atakushusha busha!!
 
Nimeshinda shambani weekend nzima, hajaonekana kakimbilia kijiji cha jirani kinaitwa puna.
Nilikuwa nimeandaa bonge la mtego, safari hii ingekula kwake mazima
mtafutie wakora wammege...ila asikujue ni wewe...atakushusha busha!!
 
Kamtongoze na wewe huyo shekhe...akiwa mkali unamwambia anachokifanye kwa mfanyakazi wako
 
Hastahili kabisa kubaki mtaani huyu firauni

Inakera sana, anataka kutumia umasikini wa huyo kijana kumharibu. Ndg. naomba chukulia hii issue kama ya mwanao na umkomeshe huyu mpumbavu, lakini huyu huwezi kumwita sheikh, ni mjinga tu.
Najaribu kufikiria hao vijana anao wafundisha!
 
Hahahaha. Aliyetoa idea ya kufuga kitimoto ndio kafunika. Hahahaha. The best solution! Kama badwo akitamani basi sio sheikh huyo!

Ndg. Sheikh hataki kingine ni t###go ya dogo, sasa kitimoto kitasaidia nini, labda dogo awe anabeba kitimoto mfuko wa nyuma!
hahahahaha
 
Hold on Mikela, ni sheikh ndio anataka awe analiwa TiGo au yeye ndie anataka ale "Jicho"! kama ye ndio anataka aliwe mwambie dogo ampe sheikh kitu roho inapenda, lakini kama sheikh ndio ataka kula basi m comfront huyo sheikh na uumpe ukweli wake na akibidi mpe " nakozi" za kutosha! tena za chembe! na ikiwezekana mfanye *******!
 
Midude mingine sijui inafanya nini msikitini?
Mpeleke magomeni kuna machoko kibao wanajiuza watamsaidia kumkata kiu yake
 
Haaa haaa! Post zingine jamani mh hata kama umenuna unashtukia kicheko kinakutoka kwa nguvu.
 
Mungu kanijalia mifugo mingi kiasi ambayo iko eneo la Buyuni kata ya Pemba Mnazi, Tarafa ya Kigamboni ambako ndiko shamba langu liliko.
Jirani ya shamba langu kuna msikiti na sheikh mmoja anaishi hapo msikitini.
sheikh huyo amekuwa akimsumbua kijana wangu kwa kumtongoza na kumuomba wawe wanafanya mapenzi (wote wawili ni wanaume).
Kijana wangu amekataa lakini sheikh anaendelea kumfuatilia, je nifanyeje ili kumkomesha sheikh na hiyo tabia, maana kijana wangu anatishia kuacha kazi iwapo sheikh ataendelea kumtongoza.

Ili umkomeshe shehe na wewe mtongoze.
 
Hold on Mikela, ni sheikh ndio anataka awe analiwa TiGo au yeye ndie anataka ale "Jicho"! kama ye ndio anataka aliwe mwambie dogo ampe sheikh kitu roho inapenda, lakini kama sheikh ndio ataka kula basi m comfront huyo sheikh na uumpe ukweli wake na akibidi mpe " nakozi" za kutosha! tena za chembe! na ikiwezekana mfanye *******!

Huo sio ushauri, je dogo akizoea, hujui mla huliwa?
 
acha amegwe tu akitaka sasa we unamgombelezea mwanaume mwenzio? yeye mwenyewe akiona poa fresh tu! au unamtaka weye?
 
Mtaani kwetu leo asubuhi sheikh kakamatwa akimbandua mchunga ng'ombe ndani ya banda la ng'ombe.
sheikh huyo ni mteja wa maziwa na mchunga ng,ombe kila siku huwa anakamua maziwa.
kumbe zaidi ya hayo jamaa wana kamchezo kao ka ziada
 
We ndio uliyeleta hii thread? Mwe..watunzi mko wengi.
 
Udini unatoka wapi?siku za hivi karibuni tulikuwa tunaongelea padri aliyebaka,vipi masheh wapenda TIGO wakizungumziwa unaoanisha na udini?Vipi mambo aliyoyafanya padri kimaro pale chuo kikuu cha Dar es salaam?mbona haukuwa udini?wewe ni mbumbumbu kabisa hujui unapotoka na unapoelekea!
matusi ya nn ndugu? ni mtazamo wangu tu mm pia ni mkristo na sikuwa na nia mbaya kuandika hivyo ila naona unashobokaaaa utadhani umepakwa pilipili manga eneo baya na kwa jinsi avatar yako ilivyo nadhani masheikh wa mtaa wako watakuwa washapiga hodi kwako
 
Hivi panga ni shilingi ngapi? Mbona solution ni rahisi sana?
 
Panga ni silaha ya jadi, pia ni zana ya kukatia mifupa migumu na matawi ya niti.
Sijawahi kusikia kwamba kuna hela yaitwa panga.
hivi panga ni shilingi ngapi? Mbona solution ni rahisi sana?
 
Back
Top Bottom