Anang'ang'ania kuwafahamu wazazi wangu.

Anang'ang'ania kuwafahamu wazazi wangu.

mpeleke tu kwa wazazi....ile si ndoa...ni hatua tu itakayompa amani na imani kwako.......!!!
nadhani muanzisha mada ameshajifunza nini cha kufanya...mwenzie anataka mawifi ye anambania
 
nipo chuo.ila nataka nilipe umuhimu wake suala hili.ndio maana nilitaka kulitekeleza baada ya masomo.
kama ni chuo suala la kumpeleka kwa wazazi wako sio tatizo. Au umeshaonja na unadhani sio tamu hivyo ukimpeleka kwa wazazi wanaweza wakampenda biti wakati wewe umeshakinai tayari?
 
mpeleke kwa wazazi tu itakuwa vizuri ili kumjengea imani
 
Si mbaya kwamba uliingia kwa ndoa, kwani shida iko wapi kama ni mchumba mpeleke tu kwa ndugu awaone ni njia ya kufahamiana hiyo mkuu!
 
Kamtambulishe tu kwa wazazi au labda bado hujiamini na huo uamuzi wako na ndo maana unajishauri.
 
Duuu haya mambo ya mahusiano nayaona ni magumu sana!!
Natamani kujua/kusikia kama kuna mtu alipita salama katika haya mambo yaani hana historia ya kuumia au kusumbuliwa mpaka mwisho wa safari yao, na wanaendelea vizuri hadi sasa hivi!!!
 
ndizi! karibu lol

No wonder wengi wetu tunasema JF imeingiliwa ni kwa mtindo huu. Ndio nini sasa kama sio kuchafua roho za watu. Kwani ukiweka avatar isiyo ya kufanana na uchafu huu ni tatizo wajameni. Wakati mwingine tujiheshimu kidogo baraza hili linasomwa na wengi watoto vijana kwa wazee tunafundishana nini. Yes i said avatar yako inaleta matataizo kidogo.Ushauri wa bure.
 
sioni tatizo kumpeleka nyumbani kama unampenda,kusema anang'ang'ania si lugha nzuri kwa umpendae
 
Inaonyesha ulimtongoza ukamwambia utamuoa ili umpate kirahisi sasa umempata unataka kumyeyusha mpeleke kwani hizo ni hatua za mwanzo
 
Nenda tu kamtambulishe mwenzio ukimaliza hiyo shule yako kafungeni ndoa fastrer na sio kuweka visingizio, umri wote huo unahisi wazazi wako hawajui kuwa una rafiki wa kike? au unataka kutuambia nin?
 
Back
Top Bottom