nadhani muanzisha mada ameshajifunza nini cha kufanya...mwenzie anataka mawifi ye anambaniampeleke tu kwa wazazi....ile si ndoa...ni hatua tu itakayompa amani na imani kwako.......!!!
kama ni chuo suala la kumpeleka kwa wazazi wako sio tatizo. Au umeshaonja na unadhani sio tamu hivyo ukimpeleka kwa wazazi wanaweza wakampenda biti wakati wewe umeshakinai tayari?nipo chuo.ila nataka nilipe umuhimu wake suala hili.ndio maana nilitaka kulitekeleza baada ya masomo.
we Saaly unakula nini hapo?
ndizi! karibu lol