Aisee huyu Mtiga wa The Story Book ni habari nyingine.
Previously nilisema Ananias haji pata mpinzani. Nimefuta kauli.
Mi namkubali sana Mtiga Abdallah wa EFM, anajua sana kazi yake.
Yupo kijana mpya. Mtoa mada kaniingiza chaka.Hivi Mtiga yuko Wasafi hadi leo? Mbona uko nyuma sana?
Mtiga yupo E-FM kwenye hadithi za kweli na Mtiga... Nimegundua huwa wengi wenu huwa mnachangia bila kujua kinacho jadiliwa
Yupo kijana mpya. Mtoa mada kaniingiza chaka.