Ananiasi Edga na Mtiga Abdala wana sauti za kuvutia sana

Ananiasi Edga na Mtiga Abdala wana sauti za kuvutia sana

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
683
Reaction score
946
Kwema wadau?

Aisee kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza The story Book ya Wasafi na Ile ya Global TV online wana wasimuliaje flani hivi daaah hawa watu wananikosha sana na sauti zao nzuri za hadithi.

Hii hali imenifanya hata wasimuliaje wengine kuona kama wananiboa saaana mpaka nashindwa kumaliza ata mazismulizi yao'.

Nani ameathirika kama mimi na hawa watu? Huwa wananiptezea sana mawazo na story zao jamani Big up sana kwao.
 
Yaan hao watu wamenifanya naunga bando la elf 20 Kwa Mwez niwe na angalia YouTube nimekuwa addicted na story zao Sana
Kila Saa naangalia mzigo mpya kama wameweka
 
Aisee huyu Mtiga wa The Story Book ni habari nyingine.

Previously nilisema Ananias haji pata mpinzani. Nimefuta kauli.
 
Mi namkubali sana Mtiga Abdallah wa EFM, anajua sana kazi yake.
 
Aina nyengine ya sanaa na ajira,tuwaunge mkono
 
Ananias ni noma ana vigezo maneno fulani vya kuchomekea msikilize hapa

Sema tena kama ni mkongwe wa JF kuna baadhi ya story utapata ukakasi kuzielewa kidogo,maana ziliishapita huku.
 
Aisee huyu Mtiga wa The Story Book ni habari nyingine.

Previously nilisema Ananias haji pata mpinzani. Nimefuta kauli.

Hivi Mtiga yuko Wasafi hadi leo? Mbona uko nyuma sana?
Mtiga yupo E-FM kwenye hadithi za kweli na Mtiga... Nimegundua huwa wengi wenu huwa mnachangia bila kujua kinacho jadiliwa
 
Ananias is well known on Global you tube...

Huyu Jamal wa The Story Book Wasafi TV... Nafikiri anakuja washika wote.
 
Hivi Mtiga yuko Wasafi hadi leo? Mbona uko nyuma sana?
Mtiga yupo E-FM kwenye hadithi za kweli na Mtiga... Nimegundua huwa wengi wenu huwa mnachangia bila kujua kinacho jadiliwa
Yupo kijana mpya. Mtoa mada kaniingiza chaka.
 
Back
Top Bottom