Ananifaa kweli huyu?

Utapelekaje zawadi siku ya kwanza kwa lipi alilofanya.
 
Kama angekuwa mstaarabu wala asingeonyesha kama hiyo zawadi hakuipenda, angeipokea kwa furaha na shukrani nyingi. Hata hivyo watu tumetofautiana.
 
Washikaji wengine mnakuwaga desperate sana hadi mnatia aibu!

Mademu wote hawa bado mnalia lia!
 
mi i najua zawadi huwa haiombwi,ni mtu anaamua kukuletea kwa ridhaa yake bila kulazimishwa,achana na huyo demu ni changudoe wa kona baa
 
Mshukuru Mungu amekuondolea balaa. ungelia nae huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…