Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Utapelekaje zawadi siku ya kwanza kwa lipi alilofanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshukuru Mungu amekuondolea balaa. ungelia nae huyo.Nimebahatika kukutana na girl super cue na tukapanga mambo mengi.
Cha ajabu tukapanga tukutane one day ili kubadilishana mawazo akaniomba nimjie na zawadi kwa bahati mbaya hakuiependa hiyo alikuwa anahiitaji. Nikajitetea tutakwenda weekend akachague. Baadaye ananitext kwamba cwezi kumdharau kiasi kile. Akaomba tuachane. Jamani hii imekaaje ushauri plz