Ananifaa kweli huyu?

Ananifaa kweli huyu?

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Nimebahatika kukutana na girl super cue na tukapanga mambo mengi.
Cha ajabu tukapanga tukutane one day ili kubadilishana mawazo akaniomba nimjie na zawadi kwa bahati mbaya hakuiependa hiyo alikuwa anahiitaji. Nikajitetea tutakwenda weekend akachague. Baadaye ananitext kwamba cwezi kumdharau kiasi kile. Akaomba tuachane. Jamani hii imekaaje ushauri plz
 
Acha uzembe wewe yaani hata hili unatuomba tukushauri, haya ushauri wangu nasema hivi anakufaa sana maana hapendi unuder-estimet
 
Nimebahatika kukutana na girl super cue na tukapanga mambo mengi.
Cha ajabu tukapanga tukutane one day ili kubadilishana mawazo akaniomba nimjie na zawadi kwa bahati mbaya hakuiependa hiyo alikuwa anahiitaji. Nikajitetea tutakwenda weekend akachague. Baadaye ananitext kwamba cwezi kumdharau kiasi kile. Akaomba tuachane. Jamani hii imekaaje ushauri plz

Hii imekaa hovyo_..kosa ulilofanya ni kumpapalikia kwa kumpelekea zawadi muda usio mwafaka kwake na kwako pia....tafakari na chukua hatua mkuu
 
Kusoma hujui hata picha huoni? Huyo ni gold digger................Ila sometimes wanaume huwa tunajipa sifa tusizostahili,pengine umeenda na Benz la kuazima halafu unamletea zawadi ya simu ya philps 1991 model!
 
Kwanza utaombaje zawadi?yaani wewe kitendo cha kuomba zawadi ulitakiwa uamke?pili kitendo cha kutoipenda na kuwa wazi this early ni cha pili?tatu kukuambia muachane its very obvious your not one her type,two her standard,three not a man enough for her,
 
ulimpa zawadi gani?

Ya gharama sana. Na namshangaa kwa kushindwa kuona jinsi nilivyomjali, anabeep nampigia.
Hadi sasa zawadi nimeirudisha dukani na bado cjapata mtu wa kumpa na muuzaji anasema hawezi kurudisha pesa. Hivyo kama msichana yuko tayari tuwasiliane nimpe for free kama zawadi 0712-756-743
 
aiseeeee!.....inaita_kweli nimeamini JF ina watu wa aina zote.
 
Nimebahatika kukutana na girl super cue na tukapanga mambo mengi.
Cha ajabu tukapanga tukutane one day ili kubadilishana mawazo akaniomba nimjie na zawadi kwa bahati mbaya hakuiependa hiyo alikuwa anahiitaji. Nikajitetea tutakwenda weekend akachague. Baadaye ananitext kwamba cwezi kumdharau kiasi kile. Akaomba tuachane. Jamani hii imekaaje ushauri plz

Hahahaha mkuu alikuona huna mpunga amekuomba zawadi wewe umepeleka zawadi feki ya mchina wapi na wapi mademu wanaangalia mpunga mzazi
 
Huyo na pepo la ROHOMTAKAVITU, wala hakuwa na mapenzi ya dhati kwako
Kweli umeumia hadi unataka kutoa kama sadaka? Mungu atakusaidia utapata mwingine
 
Huyo mwanamke kakuomba zawadi, wewe umepeleka zawadi asiyo taka sasa anayo haki....mana kukupa mtihani mmoja umeshindwa, kama ni super cute kama unavyo sema, wewe kabembeleze achana na jamaa wanao sema hakufai...ukimuacha wengine wanachukua.
 
Back
Top Bottom