Ananilaumu kwa kumuacha na kwenda chumbia mwanamke mwingine. Sasa ngoja nami niseme ukweli

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
" Huyu dada amekuwa akiandika kwenye mitandao kuwa nmemtelekeza na kwenda chumbia mwanamke mwingine.

Nlianza naye mahusiano nikiamini angekuja kuwa mke wangu.nliepuka kwa muda mrefu kufanya naye mapenzi nikisema tusubiri siku rasmi ya ndoa. Lakini ilishindikana baada ya siku moja tukiwa home kwangu yeye kulewa na akanishawishi kwa vitendo kufanya naye tendo hilo.

Kilichokuja kunishtua ni kuwa yule dada wakati tunafanya kitendo hicho alininyonya mpaka sehemu zangu za haja kubwa. Nlishtuka sana.nilimtoa kuonesha kuwa sikuwa naafiki jambo hilo.alionekana kunishangaa kuwa ni jambo la kawaida tu mbona.

Nlichogundua alikuwa dada ambaye yupo tayari kufanya chochote kunifurahisha au kunipa raha. Mambo yale yalinitoa kwenye mood kabisa. Yeye alionekana kunishangaa tu lakini hakusumbuka akilini.

Toka siku ile nlighairi suala la kutaka oana naye. Na nlianza kwepa hata kumkiss maana nliwaza je aliwanyonya wangapi sehemu ya haja kubwa?je ni wangapi walimwingilia kinyume na maumbile? Baadaye akaanza kusema ana ujauzito wangu.

Sikujua niseme nini zaidi ya kumwambia haina shida. Nmehudumia huo ujauzito mpaka sasa ni miezi 7. Lakini nilimweka wazi mapema tu kuwa mimi sitoweza oana naye. Sikuwahi mwahidi hbr za ndoa.nakataa kabisa. Na aseme ukweli. Baada ya siku ile ya kwanza kusex naye hatukurudia tena.nlikuwa namkwepa.

Leo anakuja lalamika kuwa ameona nachumbia na nmemtelekeza mja mzito. Si kweli. Nina ushahidi wa pesa nazomtumia kwa ajili ya kwendea klinik. Nina ushahidi wa Dereva wa bajaji ambaye humpeleka na kumchukua. Nachotaka akijifungua nikipima mtoto kama wangu nimchukue niishi naye.

Nmekuja gundua mwanamke huyu hana akili pamoja na uzuri wa umbo na sura alio nao. Amenitukana na kunisema vibaya. Nmenyamaza kwa muda mrefu lakini sasa akitaka niseme nitasema.

Mimi naonekana mbaya, mhuni na kila majina mabaya tunayopewa wanaume. Nmenyamaza sana ila sasa ntasema tu. Nasikitika kama mtoto atakuwa wangu kuwa na mama wa namna hiyo. Wanasema mtoto huchukua akili kwa mama. Je mtoto wangu si ataathirika na tabia za mamaye? Siwezi oa mwanamke mchafu hivyo."

C&P
 
Nilichojifunza hapa unahamasisha ngono kabla ya ndoa huna lolote....mdada mzuri, mwenye akili fyoko fyoko zote porojo tu
 
Imagine JLW lilifungwa kwa kudai mada nyingi zinahamasisha ngono na anal sex. Hiki ni nini? Siku hizi kipo wazi hata guest anaona.
 
" Huyu dada amekuwa akiandika kwenye mitandao kuwa nmemtelekeza na kwenda chumbia mwanamke mwingine.

Nlianza naye mahusiano nikiamini angekuja kuwa mke wangu.nliepuka kwa muda mrefu kufanya naye mapenzi nikisema tusubiri siku rasmi ya ndoa. Lakini ilishindikana baada ya siku moja tukiwa home kwangu yeye kulewa na akanishawishi kwa vitendo kufanya naye tendo hilo.

Kilichokuja kunishtua ni kuwa yule dada wakati tunafanya kitendo hicho alininyonya mpaka sehemu zangu za haja kubwa. Nlishtuka sana.nilimtoa kuonesha kuwa sikuwa naafiki jambo hilo.alionekana kunishangaa kuwa ni jambo la kawaida tu mbona.

Nlimkatalia. Tukiwa tunaendelea na tendo hilo nakumbuka alikamata uume wangu na kuingiza sehemu yake ya haja kubwa.uliingia bila tatizo na hapo nikaja jifunza kuwa yule dada mrembo alikuwa mzoefu.

Nlichogundua alikuwa dada ambaye yupo tayari kufanya chochote kunifurahisha au kunipa raha. Mambo yale yalinitoa kwenye mood kabisa. Yeye alionekana kunishangaa tu lakini hakusumbuka akilini.

Toka siku ile nlighairi suala la kutaka oana naye. Na nlianza kwepa hata kumkiss maana nliwaza je aliwanyonya wangapi sehemu ya haja kubwa?je ni wangapi walimwingilia kinyume na maumbile? Baadaye akaanza kusema ana ujauzito wangu.

Sikujua niseme nini zaidi ya kumwambia haina shida. Nmehudumia huo ujauzito mpaka sasa ni miezi 7. Lakini nilimweka wazi mapema tu kuwa mimi sitoweza oana naye. Sikuwahi mwahidi hbr za ndoa.nakataa kabisa. Na aseme ukweli. Baada ya siku ile ya kwanza kusex naye hatukurudia tena.nlikuwa namkwepa.

Leo anakuja lalamika kuwa ameona nachumbia na nmemtelekeza mja mzito. Si kweli. Nina ushahidi wa pesa nazomtumia kwa ajili ya kwendea klinik. Nina ushahidi wa Dereva wa bajaji ambaye humpeleka na kumchukua. Nachotaka akijifungua nikipima mtoto kama wangu nimchukue niishi naye.

Nmekuja gundua mwanamke huyu hana akili pamoja na uzuri wa umbo na sura alio nao. Amenitukana na kunisema vibaya. Nmenyamaza kwa muda mrefu lakini sasa akitaka niseme nitasema.

Mimi naonekana mbaya,mhuni na kila majina mabaya tunayopewa wanaume. Nmenyamaza sana ila sasa ntasema tu. Nasikitika kama mtoto atakuwa wangu kuwa na mama wa namna hiyo. Wanasema mtoto huchukua akili kwa mama. Je mtoto wangu si ataathirika na tabia za mamaye? Siwezi oa mwanamke mchafu hivyo."

C&P
Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikichukua mimba huzaa mauti...... pambana.
 
Yaani mnakutana mara ya kwanza na mimba juu huwa mnawaza nini ani??
 
Back
Top Bottom