Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Nov 2, 2011 #101 Duuh!Helmet ya kifuani!!
C Coolbaby Senior Member Joined Oct 12, 2011 Posts 116 Reaction score 5 Nov 2, 2011 #102 Mi naona huyo mpenzio kaambiwa na marafiki zake kuwa sehemu zinazoleta stimu kwa mwanaume ni kifuani pamoja na kwingineyo sasa ndo maana kafanya hvyo ili kuthibitisha
Mi naona huyo mpenzio kaambiwa na marafiki zake kuwa sehemu zinazoleta stimu kwa mwanaume ni kifuani pamoja na kwingineyo sasa ndo maana kafanya hvyo ili kuthibitisha
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Nov 2, 2011 #103 Inaelekea umekaaa ki-kitimoto kitimoto..................sasa kwa wale wapenzi wa hi kitu walikokubuhu anashindwa kujizuia :lol:!
Inaelekea umekaaa ki-kitimoto kitimoto..................sasa kwa wale wapenzi wa hi kitu walikokubuhu anashindwa kujizuia :lol:!
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,852 Reaction score 873 Nov 2, 2011 #104 Masikini_Jeuri said: Inaelekea umekaaa ki-kitimoto kitimoto..................sasa kwa wale wapenzi wa hi kitu walikokubuhu anashindwa kujizuia :lol:! Click to expand... acha kumwita mwenzako kitimoto wewe, teh teh teh.. By the way kitimoto kwani kinaliwa KIBICHI.
Masikini_Jeuri said: Inaelekea umekaaa ki-kitimoto kitimoto..................sasa kwa wale wapenzi wa hi kitu walikokubuhu anashindwa kujizuia :lol:! Click to expand... acha kumwita mwenzako kitimoto wewe, teh teh teh.. By the way kitimoto kwani kinaliwa KIBICHI.
C Coolbaby Senior Member Joined Oct 12, 2011 Posts 116 Reaction score 5 Nov 2, 2011 #105 Sasa hapo nijitihada za huyo mpenz wake kumuwahi kumtengeneza huku mdomo wake ukiwa unacheza sana nae ili acpate upenyo wa kuweza kumng'ata.
Sasa hapo nijitihada za huyo mpenz wake kumuwahi kumtengeneza huku mdomo wake ukiwa unacheza sana nae ili acpate upenyo wa kuweza kumng'ata.
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Nov 2, 2011 #106 Ng'ata masaburi yake atashtuka tu!!