Kayaula Musa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 694
- 719
We mzee wa vinyeo wewe.. Mbona unataka kuharibu watu mzee.. [emoji23]Si kawaida hata kidogo.. Njaa ikikuuma anadhani utaenda kuponea wapi? Walau angekuachia hata mapajani tu kwa nyuma au chini ya kiuno kwa nyuma
Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
We ungekubali?Pole sana, vumilia tu kwani kitu gani...
Inategemea...We ungekubali?
Inategemea...
We ungekubali?
Atakuwepo kwenye hali gani...Inategemea nini?
Hakuna cha inategemea hapo miezi 3Inategemea...
Atakuwepo kwenye hali gani...
Mimi tena BAK mimi mwanaume wangu hata kama tuna ugomvi likija swala hilo nampa hata kama nimenunaHuwa unamnyima kwa muda gani? Na kwanini umnyime wakati wote mnapata utamu?
Mlioa mna kazi sanaaa..Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
π mbona midogo sana kuvumilia...Hakuna cha inategemea hapo miezi 3
Ebu ngoja kwanzaπ mbona midogo sana kuvumilia...
Wewe unaweza nyima kupeana kwa muda gani?
Mananeo makali sana haya... Dah!! π³Hebu toa mifano miwili ya kusababisha unyimwe uchi kwa miezi mitatu. Kumbuka neno ni kunyimwa Ina maana hakuna sababu yoyote ile ya maana kunyimwa uchi.