Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
Naenjoooooooooy!

Kazi kweli kweli.
endelea kula ugali kwa picha ya samaki...
haya mambo ya skype syaelew vzt,lakin hawez kupata hzo nude pictures zako na baadae yikatumka ktk namna hasi kwako(i mean kutumika negatively against u),its better being safe than sorry, smell something not very gud here!!!Potelea Mbali, Naridhika
hahahahah hii hapo kwenye bold kali sana mkuu.Hahahaha!!! Ama kweli penzi ni kitovu cha uzembe, kaka unaambiwa unakula kwa macho unasema " potelea mbali"???? Haha
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD