Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,605
- 3,176
Kama unaridhika pouwa vumilia inaonekana mnaridhishana na wewe unajisaidia kuja pia.
Ila duh mwanamke huyo ana moyo, labda pale mjini Amsterdam red district ndio home kwake.
Pia unaweza ukaja ukapenda mambo mkikutana, kama unamzungusha yeye anategemea mtaenda mbali na wewe unaandika kujiringia eti long dist huwezi basi mwambie unavyotaka.
Hapo kwenye RED naona unalenga kumuumiza mwenzako roho labda kama hajui hiyo RED DISTRICT ni nini!!!! Hata pale The Hague kuna RED RIGHT street vile vile!!!
Tiba