Ananionesha kila kitu SKYPE!!

Hapo kwenye RED naona unalenga kumuumiza mwenzako roho labda kama hajui hiyo RED DISTRICT ni nini!!!! Hata pale The Hague kuna RED RIGHT street vile vile!!!

Tiba
 
Isijekuwa wanakula wenzio, wewe waishia kuchungulia tu kwa skype.
 
Kweli JF inazidi kuadvance kinyumenyume....utoto mwiingi!
 
Kazi ya kudanganya na porn za kuoneshana usiku anakuwa pekee kwenye chumba.
 
dah tatizo smart phone yangu imeharibika ninge idownload skype sasa hivi!
 
Hapo kwenye RED naona unalenga kumuumiza mwenzako roho labda kama hajui hiyo RED DISTRICT ni nini!!!! Hata pale The Hague kuna RED RIGHT street vile vile!!!

Tiba

nimetaja sehemu nasikutaja huko unakoongeza wewe kivyako, kama anajua au hajui akitaka kujua anaweza kutafuta kujua kwa internet.
 
Ninashindwa kuchangia huu uzi kwa sababu hiyo 'kuonyeshana kila kitu' nimeshindwa kuielewa! Labda ufafanue zaidi unamaanisha nini?
 
Una kichwa kigumu sana! Yani hadi leo una enjoy kwa mapenzi ya kufikirika wakati wenzio huko wana kula, we unampandisha hisia wenzio wana maliza.
 
Ukizoeana sana na mbwa kuna siku atakufuata hadi nyumba ya ibada sasa wewe endelea tu na.mchezo wenu huo,na siku akikuonyesha jinsi anavyomeng'enyuliwa huko uje pia utusimulie hapa MMU
 
hahah haya bwana wewe jienjoy kijana wala usipate tabu.
sasa hapo mwisho wajidanganya...wewe wala kwa macho wapo wanao tomasa na kuonja utamu halisia
na sio via skype!

mdau ukweli wauma sana
 
Ukizoeana sana na mbwa kuna siku atakufuata hadi nyumba ya ibada sasa wewe endelea tu na.mchezo wenu huo,na siku akikuonyesha jinsi anavyomeng'enyuliwa huko uje pia utusimulie hapa MMU

kiswahili murua hiki......i like iT
 
Mi naona hii ni taarifa tu katupa hapa...hajatuomba ushauri...so for now ngona ni:sleepy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…