Utaishije mjini. Ndo ajira hizo za JKcredit anazo na kwao ni mambo safi, I LuV HER A LOT?
duh! aiseee mkubwa umenchekesha bhana!cheki simu yake inaweza kuwa ni ya kupokea tuuu,,,,lol
Mm nina mpenzi wangu ambae ananiumiza moyo sababu huwa anipigii simu wala kuni-sms lakin nikimpigia anakuwa mchangamfu sana na hata pia nikikutana nae anavyonichangamkia anafanya nasahau yote ambayo ananifanyiaga. Na kutonipigia kwake sio kama hana credit, credit anazo na kwao ni mambo safi, WanaJF naombeni ushauri nimpige chini au nifanye nn lakin kiukweli I LuV HER A LOT?
mmh! Pole sana, huwa anasahau kama unaexist. Kuna watu hata mimi huwa nasahau kama nina namba zao ila nikikutana nao najisikia vibaya kwahyo nawachangamkia sana ili wasiniseme. Lol.
Bujibuji, mm mashuga mami ya nini? Mi sio boya kiasi hicho...!we zuzu unaibiwa, taafuta suga mami akulee mjini hapa