Mm nina mpenzi wangu ambae ananiumiza moyo sababu huwa anipigii simu wala kuni-sms lakin nikimpigia anakuwa mchangamfu sana na hata pia nikikutana nae anavyonichangamkia anafanya nasahau yote ambayo ananifanyiaga. Na kutonipigia kwake sio kama hana credit, credit anazo na kwao ni mambo safi, WanaJF naombeni ushauri nimpige chini au nifanye nn lakin kiukweli I LuV HER A LOT?