Umri wako kama sijakosea ni 15-17 au nimekosea.
Nna rafiki wa kike lakini cha kushangaza nikimwambia kitu lasima akifanyie marekebisho kwanza watu na ataki marafiki zake wajuwe kuna sku nimesafiri kwenda mbeya alilia sana na sasa nimerudi dar lakin nikimwambia nmtoe out mara1 kasema anaumwa leo asubui nikamwambia tutoke kaniambia ANASIKIA UVIVU wa kutoka leo. Nimwache au

Acha kumcontrol, love is when you feel free with someone you love. Umetaka kufunga fb yake na sasa hupendi marekebisho toka kwake. Hapo hapo unalazimisha mtoke ikiwa yeye hataki, mimi naona jipange kwanza....
Huenda amekuona ako m-ugly sana!
mwache kwani mmefungiwa banda mojaNimwache au
Umri wako kama sijakosea ni 15-17 au nimekosea.
pengine si mtokaji kalelewa ndani na shule tu, au anajionea aibu kutoka nawe yaani hajiamini kwa alivyo, anakuona sio hadhi yake na akupendi.