Ananipenda sana lakini

Usimtajia sana kutoka nae, ongeanae kama kawaida anahisi kama vile unataka kumvue nguo punguza papara inaelekea unamtisha.
 
Mh! ni ngumu kuelewa that situation embu mchunguze kwanza unawezagundua ladba ana bad exprience na mitoko. dah pole sana...
 
jaman ampige chini wakati yy ndokalizika nae,cz anaogopa atapata mwingne yn mpnz kiboko
 
ni ndo dalili za kupigwa chini, we una lako!
 

oya andika vizuri basi,una haraka ya nn sasa?watu wengine mnakera kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…