Ananishangaza sana huyu mama

Ananishangaza sana huyu mama

Habari zenu Jf members,
Mm ni kijana (me) , kuna mama mmoja jirani yngu age within 40-45yrs na bint yake tulimaliza nae chuo mwaka juz, so huyu mama nakama my mumy.
Kinachonishangaza ni kwamba nikimsalimia anaitika"marahaba shemu" badala ya mwanangu , and she always call me "shem" no matter which situation we are.
Ananikosesha raha sana huyu mama coz bint yake ananita shem nae pia hivo hivo, namuonea ata aibu kumwambia.

In ur own cognitive (mental ability ) which ways, technique and strategy can I use to overcome ths situation without any conflict with that mumy.

NB: kama huna cha kushauri pita kimya kimya, its for great thinkers only.

Huwenda anadhan shem ni nickname lako.ni vema ukamtumia mtoto wake kumuelewesha.Nina Mfano Mmoja,kuna Watoto Humuita Babayao Dady Sasa hata Watu Wazima jiran na Familia Hy humuita huyo Mtu Dady
 
Back
Top Bottom