Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Aisee π
Ilikuwa ili anipatie huduma ya tendo la ndoa lazima nimtumie salio atakalo ona linamfaa, ndio aweze kuja.
Ili wazo ndio nalitekeleza kwa sasa mkuu.Piga kumya na piga chini. Baking salama.
Kazi ni kipimo cha utu
Ni kama alikuwa ananiuzia, hana hisia na mimiAisee π
Kwa nini?Ukiwa unapika chai, jitahidi sana kuweka na viungo.
Hapo ukitafuta utofauti na malaya hupati huo utofauti πNi kama alikuwa ananiuzia, hana hisia na mimi
Sasa mguu umepata majanga, sijui soko litakuwaje?Hapo ukitafuta utofauti na malaya hupati huo utofauti π
Ndo utamu unaongezeka hapo, walemavu automatically anakuwa mtamu πSasa mguu umepata majanga, sijui soko litakuwaje?