Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
- Thread starter
- #21
Sijaelewa!! Unamaanisha hua anakuja Kwa hizo Tarehe Tu Mnakaaa Mshahara ukitoka ukimpa anapotea Mpaka mwisho wa mwezi??
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile apA
Ndio mkuu, akija anakuwepo mie mshahara ukitoka nampa hela kwa nia afanyie issue zake lakini kesho yake anaaga anasepa. Imekuwa ikijirudia kiasi nineanza kuona kama ni planned. Ukimpa tu hela anaaga kesho yake. Nina biashara ila hazijui so huwa namwambia nasubiri mshahara, kuna time nilipokea hela nikavunga imekawia mpaka tarehe 2 akawa yupo tu, jion nikampa 50 nikamwambia utaangalia vitu vyako shop kesho afu nikirudi tutatoka , ajabu nilipofika job tu akanipigia kuomba aondoke.Sijaelewa!! Unamaanisha hua anakuja Kwa hizo Tarehe Tu Mnakaaa Mshahara ukitoka ukimpa anapotea Mpaka mwisho wa mwezi??
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app