Tarehe 24 ya mwezi wa nane niliomba maelekezo kwa msichana mmoja hivi demu wangu!! Akanikubalia tukakubaliana tuimalizie kwao. Dah!! Kama huna bahati ni huna tu, tukakutwa na maza mtu, alisukuma mlango ghafla, kumbe yule demu hakuwa ameufunga, aliuegeshea!! Alichokifanya alitupiga picha kwa camera ya simu yake, kisha akaanza kufoka akanitisha kusema home.
Mmh! Lakini muda natoka nje, akasema tuonane jioni tuyamalize!! Jioni hiyo akasema tutafute muda nimtimizie then kesi iishe! Duh, ukimuona, ni mkubwa, 40 na kuendelea anazo! Mnene hadi unaogopa!! Halafu sitaki hom wajue kuwa nilivusha yule dem kwao. Nifanyeje sasa, nimtimizie yaishe au nifanye nini jaman, mimi mwenyewe 21 tu!!!