Ananitaka kimapenzi kisa kanikuta na mwanae

Elie zer

Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
73
Reaction score
68
Tarehe 24 ya mwezi wa nane niliomba maelekezo kwa msichana mmoja hivi demu wangu!! Akanikubalia tukakubaliana tuimalizie kwao. Dah!! Kama huna bahati ni huna tu, tukakutwa na maza mtu, alisukuma mlango ghafla, kumbe yule demu hakuwa ameufunga, aliuegeshea!! Alichokifanya alitupiga picha kwa camera ya simu yake, kisha akaanza kufoka akanitisha kusema home.

Mmh! Lakini muda natoka nje, akasema tuonane jioni tuyamalize!! Jioni hiyo akasema tutafute muda nimtimizie then kesi iishe! Duh, ukimuona, ni mkubwa, 40 na kuendelea anazo! Mnene hadi unaogopa!! Halafu sitaki hom wajue kuwa nilivusha yule dem kwao. Nifanyeje sasa, nimtimizie yaishe au nifanye nini jaman, mimi mwenyewe 21 tu!!!
 
huu uzi una justify tabia ya wazee wetu wa ki Africa kukataa watoto kukaa walipo wazee, yani haka kajamaa kameleta story wanazosimulianaga bwenini baada ya prepo
Prepoje!! Kama haijakukuta ni haijakukuta tu!! Watu tunakutwa na mikasa bhana!! Kwani unatarajia nikaombe ushauri wap!! Facebook au saccoss!! Acheni hzo bhana!! Tatzo watu mnafata mkumbo!!
 
Heeeee
Hivi huo ujasiri ulipata wapi?
 
Utoto mwingi Sana wewe,na unadhani humu wote ni watoto,hii ni forum ya watu waliopevuka kiakili, Kama wewe Leo ndo unafanya lamination ya Cheti Cha form 4 huoni kuwa Wewe hujapevuka,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…