Ananitaka kimapenzi kisa kanikuta na mwanae

Dah!! Ndo nguvu ya mapenz ilivyo! Hata hvyo haijawah tokea yule mazaa kurudi nyumbani mchana! Cjui ilipangwa tu itokee. Duh
Mkuu Iviii geto huna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimefaulu sana, uenda zaidi yako hata!! Mm xio kilaza!!! Zima data ukalale kama huna cha ku comment.
Wahaya bhana, cjui tuwaweke wap!!!
Umefaulu Xana Xio?

Wasahihishaji tuna mashaka nao.
 
Hivi mbona Mimi nilipomaliza 6 sikuwa kilaza ivi?
Ili swali hata mm nimejiuliza kichwani ghafla nikakutana na comment yako.

Kiufupi: Kizazi cha kuanzia miaka ya 2000 kina shida kubwa mno mkuu.
 
Huu uzi una comments tamutamu.
Dogo kaamsha kijiwe, mabsunsa yamechukia.
Wanashangaa kama mama mtu ana miaka 40, je, binti atakuwa na miaka kumi na ngapi?
Kijana anayeogopa kunyandua atakuwa na miaka mingapi?
 
Well said mkuu
 
Kama vile sisi tunavyomuona huyu bwana mdogo, hivi ndio vile wazungu huwa wanatuona waafrika
Ndio maana watu design ya Samia wakiwa wanahutubia UNGA, wazungu huwa wanatoka nje ya ukumbi hadi pumba ziishe.
 
Dogo humu umevamia kwa mijibaba. Rudi tu Facebook kwa watoto wenzio ukaandike huu uharo wako.
 
Nimefaulu sana, uenda zaidi yako hata!! Mm xio kilaza!!! Zima data ukalale kama huna cha ku comment.
Wahaya bhana, cjui tuwaweke wap!!!
kwa uandishi huu wewe ni kilaza First Grade
 
Unaomba ushauri, huo muda wa kubishana na washauri wako unautoa wapi?
 
Nimefaulu sana, uenda zaidi yako hata!! Mm xio kilaza!!! Zima data ukalale kama huna cha ku comment.
Wahaya bhana, cjui tuwaweke wap!!!
Kashenzi haka katoto badala ya (S) kanaweka (X).
.
Kingine ni kakilaza kana mwandiko mmbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…