Ananitekenya kwenye kiganja kila tukishikana mkono!

Ananitekenya kwenye kiganja kila tukishikana mkono!

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
kwenye hii ofc mm ndio mdogo...
kuna maza cku hizi cmuelewi...
kila tukishikana mkono...
anaukwaruza kwaruza na kucha...
huku akicheka
damu yangu inakimbia chaaaaarrrr!!
ana maana gani??
na niitikie vip stimulus kama iyo aisee!..
 
unaonekana unapenda akutekenye kwani ni lazima kushikana mikono na mtu pindi mnaposalimiana,kwanza huwezi jua katoka kushika nini,unampa tu mkono akutekenye,ipo siku siku atakutenya na ule mguu mdogo
 
unaonekana unapenda akutekenye kwani ni lazima kushikana mikono na mtu pindi mnaposalimiana,kwanza huwezi jua katoka kushika nini,unampa tu mkono akutekenye,ipo siku siku atakutenya na ule mguu mdogo

na hayo ndio maombi yangu...
atakua ametunga mtihani...na kuufanya mwenyewe aisee!!
 
Huo mwandiko wako kweli inaonyesha wewe ndie mdogo kuliko wote!

Kuhusu huyo jimama mwulize huwa ana maana gani kama hupendi mwambie aache au acha kumpa mkono.
 
Inaelekea unapenda , nisubiri na mimi nakuja kukutekenya kwa namna yangu . Hakika utafurahi kuliko ya huyo mama .
 
Back
Top Bottom