Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh, na wanamme mnafanyiwa hivi?
Au mvulana?
Na wewe mtekenye kwenye makwapa .
unaonekana unapenda akutekenye kwani ni lazima kushikana mikono na mtu pindi mnaposalimiana,kwanza huwezi jua katoka kushika nini,unampa tu mkono akutekenye,ipo siku siku atakutenya na ule mguu mdogo
na hayo ndio maombi yangu...
atakua ametunga mtihani...na kuufanya mwenyewe aisee!!
kongosho habari ya ucku...
naheshim uwepo wako...
kumbe ni kwa wadada tu eeh!!ngastuka!
duh, na wanamme mnafanyiwa hivi?
Au mvulana?