Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamushka kama huna mpango wa kuwa mpenzi wake ni kwa nini sasa unaona aibu kumwambia kuhusu izo tabia zake??
N.B mapenzi hayana formula wala maamuzi labda utasema ngoja nimpende huyu sasa awe mylov wangu, Mamushka huyo jamaa leo anaekukasirisha anaweza siku moja akawa ndie anaekupa raha ktk ulimwengu huu
Pole..... Kaazi kweli... Ongea nae kwa utaratibu! atakuelewa. Ila kumbuka watu wa namna hiyo, mwishowe anakuwa ndio mumeo.....
Kaizer, Im not perfect
not at all, ndo maana nimesema sorry kama ntaudhi watu kwa kuudhika kwangu, pili nikajihisi natenda dhambi labda kwa kuchukizwa na hayo, tatu sina mpango wa kua mpenzi wake ningekua na mpango nae ningejua jinsi ya kumrekebisha kwakua ningekua na sauti kwake, lakini kwakua ni just a friend ndo maana inaniuma na kumwambia nashindwa.
Ungempenda wala usinge sema haya yote!Wapendwa wadau wa Jf, huyu mkaka ananitia hasira sana, ni mtu tunafahamiana kidogo japo hakua rafiki, mara kaamua kutangaza nia yake kwangu, ukweli ni mkaka mzuri tu anaonekana ana moyo mzuri shule kaenda kaelimika, aliniambia angependa awe na mimi kama wapenzi, ukweli nilimwambia NO siwezi ninamambo mengi sana hilo nimeamua kuliweka kando kwanza, akawa muelewa akasema poa bt lets be good friends nikakubali tukawa tuna chat, na hata alisha wahi ni invite mara kadhaa kwa drinks then kilamtu anacha lapa home, mimi kuna vitu vinaniudhi sana toka kwake, anaweza kunipigia sim ananiita my honey, au my darii yani kwanza kuniita my honey hua inanibore sana, then my darii ndo kabisa kwasababu mara ya kwanza nilikua sijui ana maanisha nini (darii), nabaki na uliza mara mbili mbili umesemaje? Ndo sananiambi sorry nimekuita mpenzi, anaweza akanipigia kunisalimia then anauliza unafanya nini na mwambia, halafu yeye ananiambia mi niko home nimemaliza kura warii na nyama na viazi mvilingo, sasa mi anavyoongea ananiudhi, kuna siku tulikutana kwa drinks tukiwa group, kila saa anacheua mbele yetu hata hasemi excuse me, mi ananiudhi bwana mpaka nikamwambia uwe una sema hata sorry, akasema sawa hata mdada mwingine juzi kanikataza kunya kitu kama soup au chai na vuta kwa sauti na mdomo fyuuuu, lakini mi naona hawezi kuacha sijui, au mi ndo nafanya dhambi navyo udhika mnisamehe kama wapo wa tabia hiyo pengine si mimi tu ninaekerwa na tabia hiyo. JESUS IS MY HOME BOY.
penzi kikohozi mamaWapendwa wadau wa Jf, huyu mkaka ananitia hasira sana, ni mtu tunafahamiana kidogo japo hakua rafiki, mara kaamua kutangaza nia yake kwangu, ukweli ni mkaka mzuri tu anaonekana ana moyo mzuri shule kaenda kaelimika, aliniambia angependa awe na mimi kama wapenzi, ukweli nilimwambia NO siwezi ninamambo mengi sana hilo nimeamua kuliweka kando kwanza, akawa muelewa akasema poa bt lets be good friends nikakubali tukawa tuna chat, na hata alisha wahi ni invite mara kadhaa kwa drinks then kilamtu anacha lapa home, mimi kuna vitu vinaniudhi sana toka kwake, anaweza kunipigia sim ananiita my honey, au my darii yani kwanza kuniita my honey hua inanibore sana, then my darii ndo kabisa kwasababu mara ya kwanza nilikua sijui ana maanisha nini (darii), nabaki na uliza mara mbili mbili umesemaje? Ndo sananiambi sorry nimekuita mpenzi, anaweza akanipigia kunisalimia then anauliza unafanya nini na mwambia, halafu yeye ananiambia mi niko home nimemaliza kura warii na nyama na viazi mvilingo, sasa mi anavyoongea ananiudhi, kuna siku tulikutana kwa drinks tukiwa group, kila saa anacheua mbele yetu hata hasemi excuse me, mi ananiudhi bwana mpaka nikamwambia uwe una sema hata sorry, akasema sawa hata mdada mwingine juzi kanikataza kunya kitu kama soup au chai na vuta kwa sauti na mdomo fyuuuu, lakini mi naona hawezi kuacha sijui, au mi ndo nafanya dhambi navyo udhika mnisamehe kama wapo wa tabia hiyo pengine si mimi tu ninaekerwa na tabia hiyo. JESUS IS MY HOME BOY.
Haya bwana ntamwambia, ila nikitoka nae then aanze kugonga sahani ntacheka jamani sitavumilia, mh hayo ya kumpenda ni ya mungu mi sijui.naweza kubaliana na ww enz za ujana kuna kaka nilikua namchukia balaa lkn aliniganda mpaka nikaingia kwny line usiniulize niliingiaje kwani mpaka leo sijui na nikatokea kumpenda kuliko maelezo so mamushka mpenz angalia yaweza kukutokea na ww na pengine akawa mumeo kabisa. Na kwa sababu anakupenda tafuta ck mkae mnakula peke yenu wawili akianza kuvuta hy chai yake unamuelekeza 2 kwa upendo ili asijiskie vbya huku unatabasam kwa mbali kwamba hiki na hiki kinatakiwa kiwe hv na kwa sababu anakupenda na hujamkubali atabadilika haraka haraka
Thank you ntajitahidi.Pole sana ila inabidi uende naye pole pole. Kuhusu kukuita Darlin, mpenzi, hny hilo sioni kama ni tatizo ila angalia lisiendi likavuka mipaka maana kwa watakaosikia ukiitwa Darlin watajua mambo ndo hivyo tena.
Kuhusu ishu ya kucheua kuna watu ambao wako hivyo nikiwa na maana hawawezi izuia kutokana na matatizo ya kibinaadamu...ila ndo umfunze aseme SAMAHANI....kunywa chai kwa fyuuu...hilo ni tatizo ambalo liko nje ya uwezo wa walio wengi...na hii inatokana na wao kuogopa kuungua midomo...cdhani kama akinywa kinywaji cha baridi anafanya hivyo....
Urafiki ni kuambiana ukweli na kusaidiana. So msaidie na wewe ujivunie urafiki wenu.
Pole sana ila inabidi uende naye pole pole. Kuhusu kukuita Darlin, mpenzi, hny hilo sioni kama ni tatizo ila angalia lisiendi likavuka mipaka maana kwa watakaosikia ukiitwa Darlin watajua mambo ndo hivyo tena.
Kuhusu ishu ya kucheua kuna watu ambao wako hivyo nikiwa na maana hawawezi izuia kutokana na matatizo ya kibinaadamu...ila ndo umfunze aseme SAMAHANI....kunywa chai kwa fyuuu...hilo ni tatizo ambalo liko nje ya uwezo wa walio wengi...na hii inatokana na wao kuogopa kuungua midomo...cdhani kama akinywa kinywaji cha baridi anafanya hivyo....
Urafiki ni kuambiana ukweli na kusaidiana. So msaidie na wewe ujivunie urafiki wenu.
mnh..usipoteze muda,kwa jitu usilolipenda....
unajinyima chances zako za kuwa na mtu wako ambaye yuko perfect(kama yupo)...
mie naamini hakuna mtu 100 perfect,mwingine atakuja na vitabia vingine..usivyovipenda...sa sijui,utabadilisha wangapi?
Yah, the guy is a weirdo..kazi unayo bibie.Pore Darii.