Ananizidi umri lakini tunapendana sana


Hapana sio tatizo dada, we olewa nae tu, wapo wengine wanazidiwa na waume zao hata miaka 50..mapenzi hayaangalii umri😱
 

We ni wa kike au kiume?
 
Watu wanapishana miaka 10, itakuwa 8 tu. We fanya yako, usisikilize ya watu. Sisi binadamu tuna mengi ya kuongea yasiyotuhusu.
 

1. Na wewee wadiss
2. Waambie huna mazoea ya kupanda kitandani na vyeti vya kuzalia
 
Age is nothing but a number,enjoy ur life.
 
ningejua jinsia yako ingekua rahisi kuku shauri!!! ila kama ni mwanamke GUUUD sio mbaya ila kama ni mwanaume MHHH!! uyo mwanamke mkubw na awa watu wanachoka mapema 4sure utamchoka mapema!!!!!! atazeeeka, atakoa HEMHEM we ndo ukiwa moooto!! inaweza kupelekea kuchepuka!! xo take it into considrtion!!
 
usiyasikilize ya watu! heshimu tu maamuzi yenu maadamu yako sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…